
Pichani ni hali halisi ya maisha ya wavuvi katika kisiwa cha Ikuza kilichopo wilayani Muleba mkoani Kagera. ama unavyoona picha hizi kuanzia shughuli za uvuvi, makazi yao hayo na ulaji wa chakula ni wa pamoja lakini hawana vyoo wala maji safi ya kunywa, mahitaji hayo hutimizwa ziwani.
Picha na Shaaban Ndyamukama.


Pichani ni ulaji wa chakula cha pamoja


