Loading...
Saturday

2 comments :

 1. Utafiti wenye msukumo wa Kisiasa. Unaanzaia kwenye jibu unalolitaka na kurudi........

  ReplyDelete
 2. Hivi kama kweli nyie ndo viongozi wa kesho mbona bora hao CCM wakae milele!!!
  Serikali itawezaje kuanzisha viwanda ilivyoahidi katika mda wa siku 90??? hata jengo la hicho kiwanda haliwezi kukamilka kujengwa ktk muda huo labda ujenzi kwa ma-box na mitambo je???
  Kutoa ajira ktk muda wa siku 90 kwa vijana na wanawake labda biashara ya vitumbua na ujue pesa haiwezi kutolewa kwenye mabenki kama tu unavyoweza kuitoa kutoka nyumbani kwa Lowassa ambazo ziko kwenye viloba hapana Benki kuna mfumo na kama mfumo mpya wa ukopeshaji inabidi uanzishwe basi si kazi ya wiki moja vinginevyo utakopesha watu na waingie mitini zisrudi.
  Bado saana vijana wetu mnahitaji kusoma kwanza!!!
  Hata lugha pia hamna ati mlimpa Magufuli siku 125 mlintumaaa nyie??? What a joke !!!
  Nipeni glass nyingine mie!!!!

  ReplyDelete

 
Toggle Footer
TOP