Makutano ya mito Ruvubu na Akagera ambayo hutengeneza mto Kagera Published on Tuesday, April 05, 2016 Makutano ya mto Ruvubu na mto Akagera ambayo hutengeneza mto Kagera Upande wa chini ni mto Kagera ambao kwa upande wa Rwanda unaitwa Akagera. Hapo ndipo patakapokuwa na mradi wa umeme "Rusumo Hydro electric Power Project" kwenye mpaka kati ya Rwanda na Tanzania!