Loading...
Saturday

Mohamed Said aomba radhi kwa habari aliyoichapisha kuhusu "Kuteswa kwa Jamal Yassin"

Picha kutoka kwenye blogu ya Mohamed Said
Mwandishi wa makala za historia na wanahistoria wa Zanzibar na Tanganyika pamoja na uchambuzi kuhusu masuala ya Kiislam, Mohamed Said, ammeandika katika blogu yake, ''USTADH'' JAMAL YASSIN TAPELI BINGWA" na habari husika anayoizungumzia ni, "JAMAL YASSIN: NILIKAMATWA, NIKAWEKWA RUMANDE, NIKATESWA NIKISHUTUMIWA GAIDI" unaweza kubofya vichwa vya habari hizo na kusoma zaidi.


 
Toggle Footer
TOP