Loading...
Thursday

Nassari aanza mkakati wa kupunguza matumizi ya kuni jimboni mwake


Mbunge wa Arumeru Mashariki, Mhe. Joshua Nassari (CHADEMA) mwenye shati jeusi akiwa na baadhi ya viongozi na wataalamu wa BioGas katika kujifunza namna gesi itokanayo na kinyesi cha mifugo, hususani ng'ombe inavyoweza kutumika kupunguza matumizi ya kuni katika Jimbo la Arumeru.

Mbunge Nassari ameazimia kuipigania teknolojia hii kuweza kutumika jiboni kwake ili kuweza pia kuokoa mazingira, kuboresha maisha ya Wanameru na wakati huo huo mbolea hiyo hiyo inayozalisha gesi asilia ikitumika shambani.


Moja ya mtambo wa kuzalisha Bio Gas/ Bio-fuel Arumeru Mashariki.
Picha zote na Ofisi ya Mbunge, Arumeru Mashariki

0 comments :

Post a Comment

 
Toggle Footer
TOP