Loading...
Thursday

Picha: Mkuu wa Mkoa Magesa Mulongo amwapisha Humphrey Polepole kuwa Mkuu wa WilayaViongozi wa kamati ya ulinzi na Usalama ya wilaya ya Musoma wakisubili tukio la kuapishwaViongozi wa dini pia walikuwepo


DC Polepole (kushoto) akiteta jambo na mkuu wa wilaya ya BundaWakuu wa taasisi za umma mkoa wa Mara pia walikuwa mashuhudaKamati ya ulinzi ya mkoa pia ilikuwepoRC' Mulongo akiingia viwanja vya shughuli ya kiapoDC Polepole akiwa na wakuu wa wilaya za mkoa wa MaraDC' Polepole akisaini kiapoRC' Mulongo akizungumza baada ya kiapoDC' Polepole akizungumza mara baada ya kiapo

Baadae akawa ni kuwashukuru watu mbalimbali waliofikaDC' Polepole akisalimiana na Afisa Mfawidhi wa PSPF mkoa wa Mara,Sudi HamzaHapa anakwenda kusalimiana na Meneja wa Mfuko wa Bima ya Afya mkoa wa Mara,Latens WellaAnasalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha DP mkoa wa Mara,NyakititaAnasalimiana na kada wa CCM,Robert ZembwelaBaada ya shughuli za kiapo uelekeo ulikuwa kwenye shughuli ya picha za kumbukumbuMkuu wa mkoa akiwa na wakuu wa WilayaPicha na kamati ya ulinzi na ujasala ya mkoaDC' Polepole akiwa na DC' Luoga wa Tarime,picha chini akiwa na Mwandishi wa Azam Tv,Augustine Mgendi 
Toggle Footer
TOP