Loading...
Sunday

Daraja hatari Mbeya, viongozi wa eneo hili mpo wapi?

Huu ni ujumbe niliopokea ukiambatana na video iliyopachikwa hapo chini. Tafadhali viongozi husika onesheni uwezo katika kuhamasisha wananchi na serikali kwenye hili ili kupata daraja salama.
Subi hii unaweza kuweka Wavuti kama itafaa. Mbeya huko. Imagine mwanamke mwenye uchungu wa uzazi atapitaje hapo? Kidaraja kidogo tu kimewashinda kumaliza for months. Wizi mtupu!


 
Toggle Footer
TOP