Loading...
Friday

Makamo wa Rais, Bi. Samia asalimiana na waumini baada ya sala ya Ijumaa

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na  waumini wa dini ya Kiislam baada ya sala Ijumaa katika msikiti mkuu wa Gadaffi, Mkoani Dodoma, leo Mei 6, 2016. (Picha na OMR)

 
Toggle Footer
TOP