Loading...
Thursday

Mwili wa Andrew "Drew" Nicky Sanga wapumzishwa Dodoma; Mbilinyi "Sugu", Haule "Prof. Jay" wamzungumzia

Mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga enzi za uhai wake
Mwili wa mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga (King Drew) ukiwa unawasili katika Uwanja wa Mashujaa kwa ajili ya ibada na kutoa kutoa heshima za mwisho


Ibada ikiwa inaanza baada ya mwili wa mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga kuwasili


Wanakwaya wakiwa wanaimba wimbo wao wakati wa kujiandaa na ibada


Familia, Ndugu wa karibu, pamoja na viongozi mbalimbali wa serikali wakiwa katika ibada ya kumsindikiza mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga


Mmoja wa marafiki wakubwa wa mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga, Victor Mponzi akiwa anasoma historia na wasifu wa marehemu


Mmoja wa marafiki wakubwa wa marehemu Andrew Nicky Sanga akiwa anatambulisha wageni


Mmoja wa wageni aliyetambulishwa na alikuja na mwili wa Marehemu kutoka nchini Marekani

Huyu ni rafiki yake sana na marehemu Andrew Nicky Sanga ambaye anatoka Marekani na alikuja pamoja na mwili akitoa salamu zake za rambirambi kutoka Houston


Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma akitoa salamu zake za rambirambi kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa


Mbunge wa Mbeya Mjini Mh. Joseph Mbilinyi akiwa anatoa salamu za Rambirambi na kueleza namna alivyo mfahamu Marehemu Andrew Nicky Sanga


Mh. Mbunge wa Viti maalum akitoa salam za rambirambi na kusisitiza upendo kama aliokuwa nao mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga
Baba Askofu wa Dayosisi ya Central Tanganyika Dkt. Dickson Chilongani akitoa neno la Mungu la wakati wa Ibada ya kuaga Mwili wa Mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga.
Ndugu ,Jamaa na Marafiki wakiwa katika ibada ya Mazishi ya mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga uwanja wa Mashujaa
Baadhi ya ndugu,jamaa na marafiki wakiwa wanaaga mwili wa Marehemu
Wadogo wa Marehemu Andrew Nicky Sanga wakiwa wanamuaga mpendwa wao


Mbele ni moja ya marafiki wa mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga aliyetoka Marekani akitoa heshima za mwisho.


Baba wa Mzazi mwenzake na Marehemu Andrew Nicky Sanga akitoa heshima za mwisho


Mbunge wa Mikumi Mh. Joseph Haule akitoa heshima za mwisho


Baba wa Marehemu Andrew Nicky Sanga akitoa heshima zake za mwisho kwa mwanaye mpendwa


Mzazi mwenzake na Marehemu Andrew Nicky Sanga akiwa na mtoto wao mpendwa Zoe wakitoa heshima zao za mwisho


Watumishi wa Mungu wakiongozwa na Baba Askofu wa Dayosisi ya Central Tanganyika Dkt. Dickson Chilongani wakitoa neno la baraka kwa marehemu Andrew Nicky Sanga


Marafiki wakubwa wa marehemu Andrew Nicky Sanga wakitoa heshima zao za mwisho


Msafara ukielekea makaburini


Mwili wa mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga ukihifadhiwa katika nyumba yake ya milele


Umati wa watu wakiwa makaburini kwa ajili ya mazishi


Mh. Joseph Mbilinyi na Mh. Joseph Haule wakiwa Pamoja na Marafiki wengine wa Marehemu Andrew Sanga wakiwa Makaburini


Mama mzazi wa marehemu Andrew Nick Sanga akiwa anaweka shada la maua


Baba mzazi wa marehemu Andrew Nicky Sanga na Mke wake wakiwa wanaweka shada la maua


Mtoto wa Marehemu Andrew Nicky Sanga wa katikati akiwa anaweka Shada la Maua


Mzazi mwenzake na marehemu Andrew Nicky Sanga akiwa anaweka shada la maua


Victor Luvena akiendelea kusoma utaratibu wa kuweka mashaja


Wazazi wa Mzazi mwenzake na Andrew Nicky Sanga wakiweka Shada


Wadogo zake na marehemu wakiweka Shada la maua


Mh. Joseph Mbilinyi akiweka shada la maua


Marafiki wa mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga waliokuja na Mwili kutoka Marekani wakiweka shada la Maua
Marafiki wakubwa wa marehemu Andrew Nicky Sanga wakiweka shada lao


Baba Askofu wa Dayosisi ya Central Tanganyika Dkt. Dickson Chilongani akiweka Shada


Dkt. Sanga akitoa salamu za Shukurani kwa niaba ya familia


Baba Askofu wa Dayosisi ya Central Tanganyika Dkt. Dickson Chilongani akisoma neno la kufunga ibada
Marafiki wa Andrew Nicky Sanga wakiwa katika picha ya pamoja baada ya mazishi


Kaburi la marehemu mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga baada ya mazishi


Kama kawaida wadau wa kutwanga foto walikuwepo wa kutosha
  • Picha zote tumeshirikishwa na Fredy Njeje

0 comments :

Post a Comment

 
Toggle Footer
TOP