Loading...
Thursday

Picha za matukio mbalimbali Bungeni leo


Naibu Waziri wa Tamisemi, Seleman Jaffo akijadiliana jambo na Mbunge wa Busokelo, Atupele Mwakibete kwenye viwanja vya Bunge, mjni Dodoma.

Waziri Mkuu akijibu maswali ya wabunge, bungeni mjini Dodoma

wabunge wakijadiliana jambo bungeni


Wageni wakifuatia mwenendo wa Bunge

Mbunge wa Jimbo la Ilemela, Anjelina akijibu swali

Spika wa Bunge akitoa pole kwa familia za waumini waliouwa msikiti jijini Mwanza na watu wasiojulikana waliokuwa wamevalia kininja

Waziri Mkuu, Majaliwa kaizungumza na mmoja wa wabunge

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo akiwasilisha hotuba ya makadirio ya Bajeti ya wizara hiyo.


Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini, Ali Keisy akichangia majadiliano ya makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini, bungeni Dodoma , ambapo aliutwatuhumu wapinzania wanaomsema vibaya Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo.


Mbunge wa Ulanga, Goodluck Ulanga (kulia), akizungumza na Waziri wa Nishati na Madini, Sospeter Muhongo kwenye viwanja vya Bunge Dodoma.

Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akiwa na wanafunzi waliotembelea Bunge

Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwan Kikwete akichangia hoja wakati wa majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini

Mbunge wa Mvomero, Sadick Murad akichangia hoja bungeni
  • PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 
Toggle Footer
TOP