Loading...
Sunday

Ujinga uliobatizwa "bahati mbaya" usipodhibitiwa utakuwa hujuma kwa mabasi na mradi wa DART

Basi jingine la mwendo kasi limepata ajali eneo la Magomeni, Usalama. Ni baada ya gari dogo kukatisha kwenye barabara ya magari ya mwendo kasi bila kufuata maelekezo ya matumizi ya barabara hiyo.

Huu ni mwendelezo wa ajali za magari kwenye njia na mabasi yaendayo haraka kila uchao. 
Toggle Footer
TOP