Loading...
Friday

Waziri Kitwanga akijibu maswali bungeni Mei 20, 2016 na baadaye Rais kutengua uteuzi wake


[Aliyekuwa] Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga jinsi alivyokuwa akijibu maswali leo Bungeni, huku taarifa kutoka Ikulu ikieleza kuwa Rais John Magufuli leo hii hii ametengua uteuzi wake baada ya kugundulika kuwa Waziri huyo aliingia bungeni na kujibu maswali ya Wizara yake akiwa amelewa.

Alichosema Mbunge wa Arusha Mjini na Waziri Kivuli wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kuhusu Kitwanga... 
Toggle Footer
TOP