[audio] Msemaji wa serikali azungumza na Diaspora kupitia Jukwaa Langu, Juni 13

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mindi Kasiga
photo: wavuti.com
Katika kipindi hiki, tumezungumza na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mindi Kasiga ambaye ameeleza kuhusu nafasi na wajibu wa serikali kwa Watanzania waishio kwenye diaspora.

Pia amegusia wajibu wa Watanzania hao kwa nchi yao na kujibu maswali mbalimbali.

Karibu.