Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyasema hayo juzi wakati akizungumza na masheikh na viongozi wa Kamati ya Amani ya Mkoa wa Dar es Salaam katika futari aliyowaandalia nyumbani kwake.
Bei ya Sh2,200 ni tofauti na iliyotangazwa na Serikali ya Sh1,800 baada ya Rais John Magufuli kusitisha uagizaji wa sukari kutoka nje isipokuwa kwa kibali cha Ikulu.
- Imenukuliwa kutoka kwenye gazeti la MWANANCHI