Loading...
Tuesday

Jukwaa Langu Juni 6: Haki, Wajibu na Nafasi ya Diaspora kwa Tanzania

Picha: WikiProject African Diaspora
Katika kipindi cha JUKWAA LANGU wiki hii, tumejadili kuhusu "diaspora".

Ni ipi nafasi, wajibu na haki yetu katika nchi yetu (Tanzania)?

Ni kweli kuwa tuna watu ama mahala muafaka kutuwakilisha nchini kwetu?

Na je! Tuna vyanzo halisi vya habari na taarifa kutoka Tanzania?

Tu,eumgama ma Watanzania wa Uingereza na Marekani kujadili hili.

 
Toggle Footer
TOP