Kijana aadhibiwa kwa kukutwa anakula mchana wa mwezi wa Ramadhan

Pichani ni vijana wa Wilaya ya Chake Chake waliokutwa na mpiga picha, wakimuadhibu mmoja ya kijana mwenzao baada ya kumkuta anakula mchana wa mwezi wa Ramadhani katika maeneo ya mji wa Chake Chake Pemba. (Picha na Abdi Suleiman, PEMBA via ZanziNews blog.)