Loading...
Thursday

Makamo wa Rais, Suluhu na Hasheem Thabeet


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na mchezaji wa mpira wa kulipwa wa kikapu nchini Marekani (NBA) Hashim Thabit (Hasheem Thabeet), wakati alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo Juni 09,2016 kwa ajili ya kumuelezea kuhusu lengo na mpango wake wa kuanzisha na kukuza vituo vya michezo hapa nchini.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea zawadi ya mpira kutoka kwa Hashim.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Hashim Thabit. (PIcha na OMR).

0 comments :

Post a Comment

 
Toggle Footer
TOP