![]() |
Baba aliyembaka mtoto wake Ngassa Sekwa akiwa Polisi. |
Kishapu.
Mwanaume anayefahamika kwa jina la Ngasa Sekwa mkazi wa Kijiji cha Masagala kata ya Maganzo wilayani Kishapu mkoani Shinyanga, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumgeuza mke mtoto wake wa miaka mitatu ambaye amekuwa akimbaka mara kwa mara na kumsababishia Maumivu makali sehemu zake za siri.
Mtuhumiwa huyo ambaye amesha achana na mke wake (2015 ) ambapo mtoto wake alimpeleka kuishi kwa bibi yake, lakini alikuwa akimfuata kila siku mtoto huyo ambaye (jina limehifadhiwa) na kwenda kumbaka na kisha kumrudisha majira ya jioni kwa Bibi yake, mahali anapolelewa.
Akizungumza mbele ya mkuu wa wilaya ya Kishapu Hawa Ng’humbi kwenye kituo cha Polisi Maganzo, Bibi wa mtoto huyo Milembe Luhende alisema baba yake alikuwa akimfuata mtoto kila siku, pale anapotoka kwenye shughuli zake za ulinzi na kwenda naye kwake na kisha kumrudisha jioni ambapo siku moja alimuona mjukuu wake akiwa tofauti.

“Baba ambaye amembaka mtoto wake ni mtoto wangu mimi wa kumzaa hivyo siwezi kumsingizia na nimekasilishwa sana na unyama aliokuwa akimfanyia mjukuu wangu na kufikia hatua ya kumshitaki iliachukuliwe hatua kali za kisheria maana huwezi kumgeuza mke mtoto wa miaka mitatu,”alisema LuhendeAliongeza,
"Siku ya tarehe 7/6/2016 ambapo mjukuu wangu alipochukuliwa na baba yake aliporudishwa nilimuona akiwatofauti akijikuna sehemu za siri na nilipoanza kumuogesha nilimuona amevimba huku akitokwa na uchafu ambazo ni mbegu za kiume,"
na kushitukia mchezo huo mchafu aliokuwa akifanyiwa.
Aidha bibi huyo alifafanua kuwa mara baada ya kuona hali hiyo alitoa taarifa kwa uongozi wa Kijiji na Kata na kuchukua hatua ya kwenda kushitaki pia kwenye Kituo cha Polisi ambapo walimchukua mtoto na kumpeleka kwenye kituo cha afya na kubaini mjukuu wake alikuwa amebakwa.
Kwa upande wake, Kaimu mkuu wa kituo cha Polisi Maganzo, Oscar Shani alikiri kufanyiwa uchunguzi wa kitalaamu mtoto huyo, na kubainika kubakwa ambapo pia walimuuliza maswali na kumtaja baba yake kumfanyia kitendo hicho, na kisha kumkamata mtuhumiwa na kumsweka rumande ilisheria ichukue mkondo wake.
Aidha Mkuu wa wilaya ya Kishapu Hawa Ng’humbi ambaye alifika kushuhudia tukio hilo alivitaka vyombo vya dola kutoichezea kesi hiyo nakutaka mtuhumiwa huyo afikishwe mahakamani haraka na kufungwa jela ilikuondoa matatizo ya ubakaji wilayani humo.

Picha ya mtoto mwenye nguo nyekundu kwa mbali ndiye aliyebakwa na baba yake mzazi akiingizwa ndani ya Kituo cha Polisi kwa ajiri ya kumstiri na kumrudisha nyumbani, huku wananchi na watoto wenziye wakiwa wanasikitishwa na kitendo hicho kama unavyo waona kwenye picha.

Mkuu wa wilaya ya Kishapu Mkoani Shinyanga Hawa Ng'humbi akiwa amembeba mtoto wa miaka mitatu ambaye alikuwa akibakwa na baba yake kila siku na kumgeuza kama mke, ambapo baba yake huyo amesha achana na mke wake tangu mwaka jana.

Mtendaji wa Kata ya Maganzo Nanyu Chenge akiwa amempakata mtoto ambaye alikuwa akibakwa na baba yake mzazi na kumsababishia maumivu makali sehemu zake za siri pamoja na kutokwa uchafu sehemu hizo ambazo ni mbegu za kiume.

Mkuu wa wilaya ya Kishapu Hawa Ng'humbi akiongea na waandishi wa habari na kukemea kitendo hicho cha kinyama.

Baadhi ya wananchi wa Kata ya Maganzo wilayani Kishapu wakiwa kwenye Kituo cha Polisi Maganzo wakishuhudia tukio hilo la Kinyama
- Na Marco Maduhu-ambaye pia ni Mwandishi wa Nipashe - Shinyanga cont 0758059936