Loading...
Monday

NPR wamechemsha, nami nimetoka "Kilaza"; Hebu jaribu quiz yao bila "kudesa" ujipime

NPR wametoa jaribio zuri kuhusu Afrika, lakini katika kutaka kuwatakia heri watakaoijaribu, wametumia maneno, "Bahati Nzuri" wakitafsiri moja kwa moja kutoka maneno ya Kiingereza "Good luck" wakimaanisha, "Kila la heri."

Nimejaribu "quiz" yao na kukosa majibu sahihi kwa maswali 3, sijui kama ninaingia kwenye kundi la "Vilaza" ama "Vihiyo" au ninabakia kuwa na "karai" lenye nafuu?

Mpaka sasa ninapoweka chapisho hili, tayari zaidi ya watu 41,500 walishafanya jaribio hilo. Bofya hapa nawe ujipime.


 
Toggle Footer
TOP