naomba namba ya mbunge wangu wa sikonge
Regards,
Twaha S. | (email imehifadhiwa)
JIBU:
Kwenye ukurasa wa tovuti ya Bunge, mawasiliano ya Mbunge wa Sikonge yameorodheshwa ifuatavyo:
Hon. Joseph George Kakunda
Constituent : Sikonge
Political Party : CCM
Phone : +255758436565
P.O Box : P. O. Box 8, Sikonge
Email Address : [email protected]