Loading...
Wednesday

Uongozi wa Kizudi mnasikiliza? Tumelalamika sana, "Kero ya makelele kwenye makazi ya watu"

Mheshimiwa pole na kazi. 

Tunaomba msaada wako wa kuzuia makele kwenye makazi yetu ya Kata ya Goba - Kizudi Usukumani. 

Rejea barua hizo hapo juu tumelalamika sana bila mafanikio kutoka kwa wenyekiti na mtendaji. Tunashindwa kulala.

Regards,
WAKAZI WA KIZUDI - USUKUMANI | (email address imehifadhiwa)

0 comments :

Post a Comment

 
Toggle Footer
TOP