Loading...
Wednesday

Vije umaarufu wa Chef Issa utotoni tofauti na ndoto yake tofauti na anachofanya? - Mahojiano


  • Anasema Robert Mugabe alikuwa anaacha 'tip' ya $100 kwa kila mtu...

Chef Issa Kapande ni mpishi maarufu na mmiliki wa mgahawa mkubwa unaotoa huduma za chakula cha Kitanzania nchini Sweden, unaojulikana kama Tanzania Restaurant.

Alikuwa mkarimu sana kujiunga na Mubelwa Bandio kuzungumzia safari yake katika fani ya upishi na mpaka alipofikia. Karibu ujiunge nasi kusikiliza...

 
Toggle Footer
TOP