10 Bora za 2016 Matokeo ya F6: Shule na Walioongoza kwenye michepuo ya Sayansi, Biashara, Sanaa

Mhitimu aliyeongoza kitaifa kwa upande wa masomo ya Sayansi kuwa ni Hassan Bakari Gwaay wa mchepuo wa Fizikia, Kemia na Hisabati (PCM) kutoka Shule ya Sekondari Tabora Boys ya Tabora.

Aliyeongoza katika masomo ya Biashara ni Japhet Lawrence (ECA) kutoka Shule ya Sekondari ya Tusiime ya Tabata jijini Dar es Salaam.

Masomo ya Lugha na Sanaa, aliyeongoza ni Edith Msenga (HKL) kutoka Shule ya Sekondari St. Mary’s Mazinde Kuu mkoani Tanga.

Walioongoza katika orodha ya wanafunzi bora wa kiume katika mchepuo wa masomo ya sayansi ni
 1. Mohamed Ally (Feza Boys)
 2. Joshua Zumba (Uwata)
 3. Ntahondi Ernest (Mzumbe)
 4. Castory Munishi (Mzumbe)
 5. Zacharia Mwaipula (Ilboru)
 6. Deogratias Mwanjamila (Mzumbe)
 7. Siraji Andrea (Feza Boys)
 8. Saidi Mussa Saidi (Kibaha) 
 9. Enock Mwambeleko (Marian Boys)
Walioongoza kwa wasichana kwa masomo ya Sayansi ni
 1. Bertha Nguyamu (St. Mary’s)
 2. Mary Kilapilo (St. Mary’s)
 3. Regina Lugola (St. Mary’s)
 4. Nola Matolo (Feza Girls)
 5. Selina Pius (PandaHill)
 6. Queenlisajoa Olan’g (Marian Girls)
 7. Nasma Nyindo (Kilakala)
 8. Sheikha Rashid (Feza Girls) 
 9. Lilian Hema (Tabora Girls)
Katika masomo ya Biashara, walioongoza ni 
 1. Juliana Mwalupindi (Weruweru)
 2. Arnold James (Umbwe)
 3. Halima Kulava (Al-Muntazir Islamic)
 4. Fewdrick Laizer (Jude)
 5. David Swai (St. Joseph Cathedral)
 6. Albertina Mella (Kazima)
 7. Lucy Sanga (Alpha)
 8. James Albanus (Kibaha)
 9. Mussa Ambika (St. Joseph Cathedral)
Wahitimu bora wa masomo ya Sanaa 
 1. Boniphac Kajaba (Manow Lutheran)
 2. Elikana Simon (Runzewe)
 3. Emanuel Msabi (Kisimiri)
 4. Stration Ngowi (Uru Seminary)
 5. Leonce Bizimana (Milambo)
 6. Emanuel Gewe (Mpwapwa)
 7. Zuhura Abdul (Feza Girls)
 8. Shamsi Salim (Ridhwaa Seminary)
 9. Editha Mgina wa Morogoro
Shule kumi zilizofanya vizuri
 1. Kisimiri ya mkoani Arusha iliyoongoza yenye wanafunzi 63
 2. Shule iliyoshika nafasi ya pili ni Feza Boys ya jijini Dar es Salaam, yenye wanafunzi 91 
 3. Shule iliyoshika nafasi ya tatu kwa ufaulu ni Alliance Girls ya Mwanza yenye wanafunzi 31
 4. Feza Girls ya jijini Dar es Salaam (59)
 5. Tabora Boys ya mkoani Tabora (154)
 6. Marian Boys ya Pwani (126)
 7. Kibaha ya Pwani (165)
 8. Mzumbe ya Morogoro (119)
 9. Ilboru ya Arusha (223)
 10. Tandahimba ya Mtwara yenye wanafunzi 49
Shule 10 zilizofanya vibaya katika mitihani ya mwisho ni
 1. Shule ya Mpendae (Unguja) yenye wanafunzi 100 [ya mwisho kabisa]
 2. Ben Bella (Unguja) yenye wanafunzi 101
 3. Tumekuja ya Unguja (178)
 4. Green Bird Boys ya Kilimanjaro (37)
 5. Jang’ombe ya Unguja (46)
 6. Kiembesamaki ya Unguja (123)
 7. Tanzania Adventist ya Arusha (65)
 8. Al-ahsan Girls ya Unguja (47)
 9. Azania ya Dar es Salaam (235)
 10. Lumumba ya Unguja yenye wanafunzi 137