Amepotea, anatafutwa na familia yake

Philemon Anamwikira Ikaa Munuo
Anayeoneka kwenye picha hapo ni Philemon Anamwikira Ikaa Munuo mwenye umri wa miaka 61, ambaye ametoweka kuuanzia siku ya Jumatano tarrehe 29.06.2016 nyumbani kwake Bunju B Dar es Salam, 

Tafadhali yeyote atakaemuona apige simu polisi au kwenye namba zifuatazao... 0713449666 (Rich) 0754226760 (Tumsifu) 0713552828 (Rodrick) 0718555909 (Lucas) 0713481648 au (Tumaini).