[update] Angela anaomba umsaidie kujua atumeje maombi KCMC kusomea Phisio

UPDATE: Angela anashukuru kwa mchango na maoni kuhusu ombi alilotuma awali, sasa anauliza,
"samahani kwa kusumbua tena, je ada ya physiotherapy diploma ni sh ngapi kwa mwaka?"
---------------
Samahani,

Nigependa kujua jinsi ya kuomba kusoma Diploma in Physiotherapy KCMC. 
Je natumaje maombi? Mimi ni mhitimu wa Kitado cha Sita 2016.

Regards,
Angela