Balozi Masilingi azungumza na Watanzania wa Jumuiya ya Kiislamu Washington DC

Msikilize  Balozi Wilson Masilingi akizungumza na Watanzania wa Jumuiya ya Kiislamu waishio Washington DC (TAMCO) mara baada ya iftar ilioandaliwa rasmi na jumuiya hiyo, siku ya Jumamosi Julai 2, 2016 ndani ya ukumbi wa Lawndale Dr., Silver Spring, Maryland U.S.A.

Mazungumzo yanapatikana: SwahiliVilla blog