Kwa mwenye biashara hii, kuna mdau ametuma ombi lifuatalo...
Je,
Ninaweza kupewa gharama/bei ya vifaa vya ujenzi wa choo cha kuvuta ikiwemo kuingiza maji kutoka uani kwenda kwenye choo cha ndani ya nyumba. Nimembatani makisio ya vifaa vinavyohitajika.
Ahsante,
Oscar Kalinga
[email protected]