Taarifa ya habari ChannelTEN Julai 11, 2016

Binafsi sijaweza kusikia sauti kwenye video za taarifa hii, huenda zimezuiwa ili zisikike tu katika eneo fulani la kijiografia (geographical location restriction) lakini nimeziweka hapa kwa ajili ya wengine wanaoweza kusikiliza.