[video] Dakika 4 za Maalim Seif na Salim Kikeke katika studio za BBC Swahili


Katibu Mkuu wa CUF aliyekuwa pia mgombea urais wa chama hicho visiwani Zanzibar Maalim Seif amezungumza na mtangazaji wa BBC, Salim Kikeke kuhusu kizungumkuti cha siasa visiwani humo.

Hapa ni maoni ya mtizamaji mmoja baada ya kutizama video hiyo...