Watoto wa Kojani wakiyamudu mazingira ya uvuvi

Watoto wa kike wa kisiwa cha Kojani wilaya ya Wete Pemba, hutajwa kuanza kuyazoea mazingira wanayoishi mapema, kwa kuanza kujifundisha kupiga makasia na pondo, kwenye mitumbwi kama walivyokutwa, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

Picha via ZanziNews blog