Update: [audio] Mila? Wamasai wavamia nyumba kumchukua kijana wakamtoe kafara

Update: Audio yenye taarifa mpya iliyotolewa leo Ijumaa, Agosti 5, 2016...


-------------

Mwishoni mwa juma lililopita, kundi kubwa la kabila la Wamasai kutoka ndani na nje ya nchi, lilivamia nyumba moja katika Wilaya ya Hai kwa lengo la kumchukua kijana mmoja ili atolewe kafara kwa ajili ya kutakasa rika lake.

Bofya kitufe cha pleya iliyopchikwa hapa kusikiliza ripoti hii iliyosikika katika Redio Sauti ya Injili - Moshi.