![]() |
Fire extinguisher tunayo, msijali... ufa kwenye kioo si tatizo kwa dereva pia |
![]() |
Tairi ni kwa nje tu linakutisha, ila ndani zima kabisa, msihofu |
![]() |
Si unakaa tu kwa muda? Hapo siyo makochi ya nyumbani, keti tu, kama hutaki shuka |
![]() |
Usukani alimradi unakata kona, isikupe taabu |
![]() |
Kila kitu kipo. Clutch ile. Breki ile. Accelerator ipo. Kila kitu kipo |
![]() |
Basi la kubebea abiria wa safari ndefu Tanzania, hapo ni stendi kuu Ubungo, Dar es Salaam |