HESLB kuchapisha majina ya wadhamini wa wadaiwa

Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Vyuo Vya Elimu ya Juu, Bwana Jerry Sabi anazungumzia hili katika video clip ya ITV yenye taarifa ya habari iliyopachikwa hapo chini. Anzia dakika ya 2:20...