Loading...
Friday

2 comments :

 1. Siamini ninachokisikia kutoka kwa Raisi, Fyatua watoto na watu wanachekelea ohhh my God, is this real. Mimi ni mwanamke, na ni mtani wako, Naona aibu kwa kuyasikia maneno kama haya kutoka kinywani mwa mtukufu Raisi bila kujua ni lugha isiyokubalika na ya udharalishaji.
  Samahani am offended by this. Matumizi ya lugha kutoka viongozi wa juu nimeshangazwa sana. je hii inakubalika? inaonyesha ni kumweka chini mwanamke.
  Ohh, moyo umeniuma kwa kweli. Kumwambia mwanamama afyatue mtoto kama tofali.

  ReplyDelete
 2. Kuzaa ni kitendo cha heshima za juu kwa mwanamke, Tafadhali sana Raisi wangu. Ni kitendo kitakatifu. Siwezi kusema neno litakalowezakufananisha na huzuni iliyonipata. mwanamke anaenda leba, machungu, maumimivu, na kufananisha na kombora lifyatualo tofali, linafyatua tofali kila baada ya dakika ila tu lijazwe mchana au sementi. Hivi kutunga mimba ni sawa na ujazaji wa mchanga au kushindilia kwa sementi kwenye kombora. It pain. Inaumiza. Kuwa sensitive namna ya kutumia maneno au lugha kabla ya kuzungumza.
  Na omba Mungu asahau hili na kusamehe. au la. ni kama kujidharalisha.

  ReplyDelete

 
Toggle Footer
TOP