Mtoto wa miaka 4 mkazi wa Manda katika wilaya ya Ludewa akiogelea katika ufukwe wa ziwa Nyasa kama alivyokutwa na mpigapicha wa MatukioDaimaBlog
Mwanamke mkazi wa Lupingu Ludewa mkoa wa Njombe akifua ndani ya ziwa Nyasa
Mtoto mkazi wa Manda wilaya ya Ludewa akitoka kuvua samaki katika ziwa Nyasa
Kweli jasiri haachi asili mtoto huyu mkazi wa Manda Ludewa mkoa wa Njombe akicheza na mtumbwi ndani ya ziwa nyasa
Watoto chini ya miaka mitano wakijiandaa kuingia katika ziwa nyasa kuccheza na mtumbwi
Mkazi wa Manda akiogelea katika ziwa Nyasa
Kijana akiingia kuvua ziwa Nyasa
Mtoto mkazi Manda wilaya ya Ludewa Ludewa mkoa wa Njombe akitoka kutega nyavu kwa ajili yauvuvu ndani ya ziwa Nyasa
Mawimbi ya Ziwa Nyasa ,ziwa hili ndilo lenye mawimbi makali zaidi kuliko maziwa mengine
Bodi ya Halmashauri ya wilaya ya Ludewa ambayo kwa sasa imekufa na kuegeshwa pasipo kufanya kazi
Hii ndiyo boti ya Halmashauri ya Ludewa ambayo inatumika kwa sasa baada ya ile ya awali kufa.
- Picha zote na Matukiodaima Blog