Waziri azindua bodi ya udhamini ya MNH


Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (katikati), akizungumza na wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), wakati akizindua bodi mpya ya udhamini wa hospitali hiyo Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mwenyekiti mpya wa bodi hiyo, Dk.Charles Majinge na Kulia ni Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Michael John.


Mwenyekiti mpya wa bodi hiyo, Dk.Charles Majinge (kushoto), akizungumza katika uzinduzi wa bodi atakayoiongoza.


Wafanyakazi wa Hospitali hiyo wakiwa kwenye uzinduzi huo.


Usikivu wakati waziri akizungumza nao.


Maofisa uuguzi wakiwa kwenye uzinduzi huo.


Kaimu Mkurugenzi wa MNH, Profesa Lawrence Museru (kushoto), akiwa kwenye uzinduzi huo. Kulia ni Mjumbe wa bodi hiyo, Esther Manyesha na Dk. Ellen Mkondya Senkoro.


Uzinduzi ukiendelea.


Wadau wa sekta ya afya wakifuatilia uzinduzi huo.
  • (Imeandaliwa na mtandao wa www. habari za jamii.com-simu namba 0712-727062