Ikwiriri: Baba anachonga vinyago huku akimhusia bintiye aliyehitimu elimu ya msingi

Mzee Shamte Mmipi (kulia), akimuusia mwanae Hawa Mmipi, kuishi kijijini hapo kwa kujilinda na vishawishi wakati akisubiri matokea, akimweleza kuwa kumaliza darasa la Saba ndiyo mwanzo wa safari ndefu ya elimu. Amemuasa aache makundi.
Picha juu na chini. Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Umwe, iliyoko Ikwiriri, Rufiji, mkoani Pwani, Bw. Joshua Ndondole (aliyesimama), akizungumza na wanafunzi wa shule hiyo, waliohitmu elimu ya msingi hivi karibuni, wakati akiwahusia jinsi ya kujilinda wakati wakisubiri matokeo.

Picha: Blogu ya Nyakasagani