Madaktari wazindua tovuti mpya ya masual ya afya - JamiiHealthTz


Tovuti hii imeanzishwa kwa nia ya kuelimisha jamii kuhusu mambo yote yahusuyo afya.

Waanzilishi wa tovuti hii ambao ndiyo watoa mada na wanaojibu maswali ya wasomaji kwenye "LIVE discussion" ni Dk Fredirick Mashili, Dk Deo na Dk Franscis.

Tovuti inatarajiwa pia kuwa na "health directory".

Itembelee kupitia: www.jamiihealthtz.com