Moto wateketeza jiko la hoteli KCC Maili Moja, KibahaMoto mkali umeteketeza jiko la hoteli ya KCC ya Maili Moja, Kibaha mchana huu. Askari wa zimamoto bado wameendelea na uzimaji wa moto huo. Hakuna mtu aliyekufa kutokana na tukio hilo la moto. 
  • Picha zote: CATHBERT KAJUNA wa KAJUNASON blog.