Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi anazungumza Kiswahili fasaha kabisa

Rais Filipe Nyusi wa Msumbiji akiwa katika ziara ya kikazi Marekani alitembelea Sauti ya Amerika na kuzungumza na Abdushakur Aboud juu ya mazungumzo take na wake wa Marekani.