This is what turned that Russian river red = Sababu za mto kutitirisha "damu"

A nickel-producing company near a river in Siberia has provided more information on what caused a river to turn red.


Siku chache zilizopita, vyombo vya habari, ikiwemo vya nchini Tanzania, viliripoti habari kuhusu mito kutiririsha 'damu' badala ya maji. Kampuni moja ya Siberia imetoa maelezo kuhusu maji hayo kubadilika rangi na kuwa mekundu kutokana na mabaki ya metali na kemikali za kiwanda kimoja na hivyo kusababisha uchafuzi wa mazingira na maji yanayotumiwa na watu kwa mahitaji yao ya kila siku, kama inavyoripotiwa katika video iliyopachikwa hapo juu.