[video] Hotuba nzima ya Rais Magufuli aliyoitoa ziarani Unguja
Viongozi mbalimbali wakiwa wamejipanga kumsubiri Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kuhutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi Septemba 3, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na Mstahiki Meya wa Mji wa Zanzibar Mhe Khatib Abdurahaman Khatib alipowasili kuhutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi Septemba 3, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Kazi,Uwezeshaji Wananchi Uchumi na Ushiriuka.Mhe Haroun Ali Suleiman kuhutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi Septemba 3, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu wa Rais wa Chama cha Siasa ADA-TADEA Mhe. Juma Ali Khatib kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi Septemba 3, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Prof. Makame Mbarawa kabla kuhutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi Septemba 3, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Balozi Ali Karume

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi Agosti 3, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein Mwinyi kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi Agosti 3, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akioungia umati kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi Agosti 3, 2016

Mafundi mitambo wa AZAM TV wakiongozwa na Mehboub Al Hadad wakiwa tayari kurusha live mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi Agosti 3, 2016

Shekhe akitoa mawaidha kabla Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kuhutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi Agosti 3, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na viongozi wengine wakiwa katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi Agosti 3, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimshukuru Shekhe wakati wa mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi Agosti 3, 2016

Shekhe akipongezwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira na Muungano) Mhe. January Makamba na waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein Mwinyi

Jukwaa kuu

Wasomautenzi walisisimua umati

Wasoma utenzi wakipongezwa jukwaa kuu

Sehemu ya viongozi mbalimbali wakifuatilia mkutano

Risala

Pongezi kwa msoma risala

Bendi ya vijana

Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud akisoma muhtasari wa shughuli na kutambulisha wageni

Sehemu ya umati mkubwa uliojitokeza

Umati

Nyomi

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akitambulishwa

Mke wa Rais wa Zanzibara Mama Mwanamema Shein akitambulishwa

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zuberi Ali Maulid akitambulishwa

Mawaziri wakitambulishwa

Viongozi wa vyama mbalimbali wakitambulishwa

Bw. Hafidh Ameir, mume wa Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akitambulishwa

Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dk. Abdulhamid Yahya Mzee akitambulishwa

Viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa wakitambulishwa

Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud akisoma muhtasari wa shughuli na kutambulisha wageni

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha akisalimia viongozi

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha akitambulishwa jukwaani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein wakiongea

Mama Fatma Karume akitambulishwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein wakiongea, Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe Vuai Ali Vuai

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akisalimia

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein Mwinyi akisalimia wananchi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ, Mhe. Haji Omar Kheri akisalimia

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe Vuai Ali Vuai akisalimia

Umati ukshangilia

Furaha

Makamu wa Rais wa Chama cha Siasa ADA-TADEA Mhe. Juma Ali Khatib akisalimia

Makamu wa Rais wa Chama cha Siasa ADA-TADEA Mhe. Juma Ali Khatib akipongezwa

Mwananchi akifurahia hotuba

Umati ukifuatilia hotuba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein akihutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi Agosti 3, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akikaribishwa na Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein kuhutubianmkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi Agosti 3, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi Agosti 3, 2016

Jukwaa kuu wakifurahia jambo wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe akihutubia Magufuli mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi Agosti 3, 2016

Jukwaa kuu likifurahia hotuba

Viongozi wakifurahia

Umati wa wnanchi ukimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi Agosti 3, 2016

Umati ukisikiliza kwa makini hotuba hiyo

Umati ukifurahia

Umati ukilipuka kwa nderemo wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi Agosti 3, 2016

Umati ukilipuka kwa nderemo

Nderemo uwanja mzima

Umati ukishangilia kwa nguvu

"....Sema baba semaaaaaaa....."

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi Agosti 3, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi Agosti 3, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi Agosti 3, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi Septemba 3, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi Agosti 3, 2016

Nderemo na vifijo

"....Tuko pamoja babaaaaa...."

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi Agosti 3, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiaga baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi Agosti 3, 2016

akimpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwa hotuba nzuri

Dua ikisomwa baada ya mkutano kumalizika

Umati ukiitikia dua

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein akimpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwa hotuba nzuri

Spika wa Baraza la Wawakilishi Mstaafu Mhe. Pandu Ameir Kificho akimpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwa hotuba nzuri

Mama Fatma Karume akimpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwa hotuba nzuri

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipongezwa kwa hotuba nzuri

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na makamanda wa FFU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisindikizwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe Vuai Ali Vuai na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisubiriwa kuagwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiagana na viongozi mbalimbali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Kada mashuhuri wa CCM Visiwani Zanzibar Mzee Borafia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi Yussuf Mohammed Yussuf

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ, Mhe. Haji Omar Kheri

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe Vuai Ali Vuai

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Mstahiki Meya wa Mji wa Zanzibar Mhe Khatib Abdurahaman Khatib

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana makamanda

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Kamishna Mkuu wa Idara ya Uhamiaji zanzibar, Johari Sururu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na makamanda

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Hamdan Omar Makame

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akioungia mkono kuaga katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Abeid Manai Karume baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi Agosti 3, 2016

Akiaga kwa unyenyekevu.