Hotuba ya Rais Magufuli akimkaribisha Rais Kabila na kufungua jengo la TPA

RAIS DKT MAGUFULI AMWANDALIA DHIFA YA TAIFA RAIS JOSEPH KABILA WA DRC, IKULU, DAR ES SALAAMRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimlaki mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila Ikulu jijini Dar es salaam usiku huu alikomwandalia dhifa ya Kitaifa kwaheshima yake


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila Ikulu jijini Dar es salaam usiku huu alikomwandalia dhifa ya Kitaifa kwa heshima yake

Rais Joseph Kabila akimwamkia Rais Mstaafu wa awamu ya pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi Ikulu jijini Dar es salaam usiku huu katika dhifa ya Kitaifa iliyoandaliwa na Rais Dkt Magufuli kwa heshima yake

Rais Joseph Kabila akimwamkia Mama Sitti Mwinyi, Mke wa Rais Mstaafu wa awamu ya pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Ikulu jijini Dar es salaam usiku huu katika dhifa ya Kitaifa iliyoandaliwa na Rais Dkt Magufuli kwa heshima yake

Rais Joseph Kabila akisalimiana na Spika Mstaafu Mhe Anne Makinda Ikulu jijini Dar es salaam usiku huu katika dhifa ya Kitaifa iliyoandaliwa na Rais Dkt Magufuli kwa heshima yake

Rais Joseph Kabila akisalimiana na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid Ikulu jijini Dar es salaam usiku huu katika dhifa ya Kitaifa iliyoandaliwa na Rais Dkt Magufuli kwa heshima yake

Sehemu ya waliohudhuria dhifa ya Kitaifa iliyoandaliwa na Rais Dkt Magufuli kwa heshima ya Rais Joseph Kabila wa DRC

Sehemu ya waliohudhuria dhifa ya Kitaifa iliyoandaliwa na Rais Dkt Magufuli kwa heshima ya Rais Joseph Kabila wa DRC. Kutoka kushoto ni rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi, Mama Sitti Mwinyi, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Eng. John Kijazi

Sehemu ya wageni waalikwa katika dhifa hiyo akiwemo Prof Makame Mbarawa, Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mohammed Aboud Mohammed, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Suzan Kolimba na Mawaziri kutoka DRC

Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman, Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba, Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga na Waziri wa mambo ya Nje wa DRC Mhe. Raymond Tshibanda

Wakuu wa vyombo vya ulinzi wa Tanzania na DRC

Sehemu ya Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi

Cecilia Kabila (kulia), mdogo wake Rais Joseph Kabila wa DRC alikuwepo

Wadau waalikwa

Waalikwa

Meza kuu ikiwa na Rais Dkt Magufuli na mgeni wake Rais Joseph kabila na Makamu wa rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mama Janeth Magufuli

Rais Dkt Magufuli akiwa meza kuu na mgeni wake Rais Joseph kabila na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan

Wafanyabishara maarufu nchini Saidi Salim Bakhressa (kushoto) na Mohamed Dewji

Wafanyabishara maarufu nchini Saidi Salim Bakhressa (kushoto) na Mohamed Dewji wakiwa na wenzao wa DRC na Tanzania

Msanii mkongwe Zahir Ally Zorro alikuwepo kutoa burudani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia

Mabalozi wa nchi mbalimbali wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli

Wadau mbalimbali wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli

Mkalimani mahiri Dkt. Mussa Lulandala akiwa kazini

Wageni waalikwa wakifuatilia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendelea kuhutubia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisisimua wasikilizaji wa hotuba yake

Mama Janeth Magufuli akigonganisha glasi na Rais Joseph Kabila wa DRC baada ya hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli

Glasi zikigongwanishwa baada ya hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli

Meza kuu ikisimama wakati wimbo wa Taifa wa DRC ukipibgwa baada ya hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli

Waalikwa wote walisimama wakati wa wimbo wa Taifa wa DRC ukipigwa baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuhutubia

Wote walisimama wakati wa wimbo wa Taifa wa DRC ukipigwa baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akihutubia

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akiendelea kuhutubia

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akimtakia heri mwenyeji wake Rais Dkt Magufuli wakati wa dhifa ya Taifa iliyoandaliwa kwa heshima yake Ikulu jijini Dar es salaam

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akigonganisha glasi kumtakia heri mwenyeji wake Rais Dkt Magufuli wakati wa dhifa ya Taifa iliyoandaliwa kwa heshima yake Ikulu jijini Dar es salaam

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akigonganisha glasi na Mama Janeth Magufuli kumtakia heri yeye na mwenyeji wake Rais Dkt Magufuli wakati wa dhifa ya Taifa iliyoandaliwa kwa heshima yake Ikulu jijini Dar es salaam

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akigonganisha glasi na makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na mwenyeji wake Rais Dkt Magufuli wakati wa dhifa ya Taifa iliyoandaliwa kwa heshima yake Ikulu jijini Dar es salaam

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila Rais Dkt Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mama Janeth Magufuli wakati wa dhifa ya Taifa iliyoandaliwa kwa heshima yake Ikulu jijini Dar es salaam

Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukipigwa

Cecilia Kabila na wageni waalikwa wakisimama wakati wa wimbo wa Taifa

Waalikwa wote walisimama wakati wa wimbo wa Taifa wa Tanzania ukipigwa baada ya Rais Joseph Kabila wa DRC kuhutubia

Waalikwa wote walisimama wakati wa wimbo wa Taifa wa Tanzania ukipigwa baada ya Rais Joseph Kabila wa DRC kuhutubia

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Bw. Gerson Msigwa akiendesha shughuli kwa weledi

Mwanamuziki Christian Bella akitumbuiza kwenye dhifa hiyo

Mwanamuziki Christian Bella akitumbuiza kwenye dhifa hiyo

Mwanamuziki Christian Bella akitumbuiza kwenye dhifa hiyo

Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo


Mama Janeth Magufuli akimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo

Mkurugenzi Mkuu wa TPA Eng. Deusdedit Kakoko akimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo

Mama Salma Kikweteb akimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo

Spika Mstaafu Mhe Anne makinda akimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo

Mabalozi wakimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo

Balozi Mpya wa Uingereza nchini awasili Bi. Sarah Cooke akimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo

Wageni kutoka DRC wakimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo

Christian Bella akiendelea kutumbuiza

Cecilia Kabila akimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo

Mwanamuziki Christian Bella akishukuru

Balozi akimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo

Balozi wa Comoro Nchini Tanzania Dk.Ahamada El Badaoui Mohamed akimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo

Mgeni kutoka DRC akimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo

Kaimu Balozi wa Burundi nchini, Bw. Prefere Ndayishimiye akimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila wakiongea na mawaziri wao wa nchi za nje Ikulu jijini Dar es salaam

Wageni wafurahia Burudani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila wakipata burudani kutoka kwa Brass band ya Polisi Ikulu jijini Dar es salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Mama Janeth Magufuli na mgeni wao Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila wakipata burudani kutoka kwa Brass band ya Polisi Ikulu jijini Dar es salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Mama Janeth Magufuli na mgeni wao Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila wakipata burudani kutoka kwa Brass band ya Polisi Ikulu jijini Dar es salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufulina mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila wakishukuru baada ya kupata burudani kutoka kwa Brass band ya Polisi Ikulu jijini Dar es salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufulina mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila wakishukuru baada ya kupata burudani kutoka kwa Brass band ya Polisi Ikulu jijini Dar es salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila wakiagana na viongozi wastaafu Ikulu jijini Dar es salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila wakiagana na viongozi wastaafu Ikulu jijini Dar es salaam

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akikumbatiana na mdogo wake Cecilia

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akiagana na mdogo wake Cecilia

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akiagana na mdogo wake Cecilia

Ngoma ya Msewe ikichezwa na kundi la utamaduni la JKT

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila wakitumbuizwa na kikundi cha Brass band cha Mount Usambara chini ya Mzee Hoza Ikulu jijini Dar es salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akionesha umahiri wake wa kupiga ngoma mbele ya Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho kikwete baada ya dhifa hiyo ya Kitaifa.
  • PICHA, MAELEZO: IKULU