Taarifa ya Ikulu: Rais akutana na "kuwekana sawa" na Mabalozi wa Tanzania ng'amboRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga alipowasili kwenye ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam kwa minajili ya kuzungumza na Mabalozi wanaowakilisha Tanzania nchi za nje

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Eng. John Kijazi na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga akingia kwenye ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam kwa minajili ya kuzungumza na Mabalozi wanaowakilisha Tanzania nchi za nje

Sehemu ya makatibu wakuu na mabalozi wanaowakilisha Tanzania nchi za nje wakiwa ukumbini

Sehemu ya mabalozi wanaowakilisha Tanzania nchi za nje wakiwa ukumbini

Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Venance Mabeyo (kati) na Bw. Alphayo Kidata, Kamishna Mkuu wa TRA (kulia) na maofisa wengine waandamizi wakiwa ukumbini

Sehemu ya mabalozi wanaowakilisha Tanzania nchi za nje wakiwa ukumbini

Sehemu ya maofisa Ubalozi wanaowakilisha Tanzania nchi za nje wakiwa ukumbini

Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji TIC Bw. Cliford Tandari (kulia) na maofisa wengine ukumbini hapo

Sehemu ya maofisa Ubalozi wanaowakilisha Tanzania nchi za nje wakiwa ukumbini

Kaimu Mkurugenzi Idara ya Itifaki Bw.. James Bwana akiwa na mabalozi wakurugenzi wa Idara mbalimbali Wizarani

Balozi wa Tanzania nchini Urusi Luteni Generali Wyjones Kisamba akisimama wakati mabalozi wakitambulishwa

Balozi wa Tanzania Nchini Marekani Mhe,Wilson M.Masilingi akitambulishwa

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mhe Angela Kairuki, Katibu mkuu wake Dkt. Laurian Ndumbaro, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Juma Assad na viongozi wengine wakiwa ukumbini

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Aziz Ponary Mlima akiwatambulisha mabalozi

Sehemu ya mabalozi hao

Wajumbe wa mkutano huo

Mabalozi

Wajumbe wa mkutano

Maofisa wa Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa

Maofisa toka Sekretarieti ya Maadili,

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga akisoma risala yake

Wajumbe wakifuatilia kwa makini

Waziri Mkuu Mhe Kasssim Majaliwa akiongea na wajumbe

Waziri Mkuu Mhe Kasssim Majaliwa akiongea na wajumbe

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongea na wajumbe

Sehemu ya Mabalozi ambao ni wakurugenzi wa Idara mbalimbali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wajumbe

Sehemu ya mabalozi wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli

Mabalozi wakifuatilia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifafanua jambo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendelea na hotuba

Mabalozi wakinakiri kwa makini hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli

Mabalozi wakinakiri kwa makini hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli

Mabalozi wakinakiri kwa makini hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli

Mabalozi wakinakiri kwa makini hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli

Kila mtu alikuwa makini wakat wa hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli

Kila mtu alikuwa makini wakat wa hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli

Kila mtu alikuwa makini wakat wa hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifafanua jambo

Balozi wa Tanzania nchini Sweden Mhe. Dorah Msechu akisimama baada ya kupongezwa na Rais Dkt. Magufuli kwa juhudi zake za kupatia makazi watumishi ubalozini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa baada ya kuhutubia

Wajumbe wakipongea hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifafanua jambo

Balozi wa Tanzania nchini Canada Mhe. Jack Mugendi Zoka akichangia katika mjadala kuhusu changamoto zinazozikabili balozi zetu nje ya nchi

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Susan Kolimba akibadilishana mawazo na Katibu Mkuu wa wakurugenzi

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Davies Mwamunyange akichangia katika mjadala

Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Ernest Mangu akitoa mchango wake


Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt Modestus Francis Kapilimba akichangia

Kamishana wa Tume ya Maadili ya Viongozi, Jaji Mstaafu, Salome Kaganda akichangia

Mabalozi akifuatilia uchangiaji katika mkutano huo

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Juma Assad akichangia

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Susan Kolimba akfafanua jambo

Naibu waziri, wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,wazee na Watoto, Mh. Dkt. Hamisi Kigwangwalla akichangia

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Aziz Ponary Mlima akichangia

Kamimu Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji TIC Bw. Cliford Tandari akitoa ufafanuzi wa masuala ya uwekezaji

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Mhandisi Deusdedit Kakoko

Mabalozi wakifuatilia michango

Mabalozi wakifuatilia michango

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Mhandisi Deusdedit Kakoko

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Eng. John Kijazi akiongea meza kuu

Mabalozi wakifuatilia

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga akiongea meza kuu

Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiongea meza kuu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wajumbe

Wajumbe wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Juma Assad baada ya mkutano kwisha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mhe Angela Kairuki

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Kamishana wa Tume ya Maadili ya Viongozi, Jaji (Mstaafu) Salome Kaganda

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Kaimu Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Victoria Lembeli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt Modestus Francis Kapilimba

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Ernest Mangu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Davies Mwamunyange

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Balozi wa Tanzania mchini Ujerumani Mhe.Philip Marmo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Mhe. Grace Mujuma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Sweden Mhe Dorah Msechu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia Mhe. Naimi Aziz

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na mwakilishi wa kudumu wa Ubalozi wa Tanzania Umoja wa Mataifa Balozi Tuvako Manongi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsalimia Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Susan Kolimba

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Naibu waziri, wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,wazee na Watoto, Mh. Dkt. Hamisi Kigwangwalla

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Balozi wa Tanzania Uingereza Dkt. Asha-Rose Migiro

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Kuwait Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi Radhia Msuya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Burundi Mhe Rajabu Hassan Gamaha


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Balozi wa Tanzania Marekani Mhe. Wilson Masilingi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Balozi wa Tanzania Urusi Luteni Generali (mst.) Wyjones Kisamba

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Balozi wa Tanzania nchini Canada Mhe. Jack Mugendi Zoka

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mabalozi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na balozi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Balozi wa Tanzania nchini Japan Mhe Mathias Chikawe


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Dorothy Mwanyika

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Aziz Ponary Mlima

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Balozi Ramadhan Mwinyi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha na meza kuu na mabalozi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha na meza kuu na mabaloziRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha na meza kuu na wakuu wa Taasisi mbalimbali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha na meza kuu na Wakurugenzi wa Wizara ya mambo ya Nje.
PICHA ZOTE NA IKULU