Stori na Nyama Episode 2: Wadau Wanapojadili Nani Mkali wa HipHop Tanzania

Ni utamaduni uliojengeka kwa marafiki walioshibana kukutana mara moja moja kupiga stori huku wakiburudika na muziki au vinywaji, na mara zote kuna mada ambazo hujadiliwa kila mmoja akitoa maoni yake.

Kinachovutia kwa kundi hili la marafiki ni namna wanavyouelezea kiufasaha muziki wa nyumbani hasa ule wa HiHop. Tazama video hii.