[video] Tundu Lissu achambua "vigelegele" vya miezi 2 ya Rais Magufuli: Zanzibar, Kodi
[video] Doctor's one punch sends patient to deathRussian authorities have launched an inquiry after a shocking CCTV video of a doctor punching a patient and killing him instantly in a hospital in the city of Belgorod emerged. The footage has now gone viral on social media sites and has since aired on state television.

In a statement released on 9 January, a Belgorod investigative committee said the incident had taken place on the 29 December 2015, where the doctor confronted a bare-chested man who had potentially man-handled a female nurse. The doctor said: "Why did you touch the nurse?" before pushing him out of the doorway. When the man returned, the doctor delivered the fatal blow to the face.

It has not been explained why the investigation of the crime has been delayed, but the doctor is now expected to be charged with death through negligence that carries a two-year jail sentence.
During the incident at the hospital estimated to be 670km (440 miles) south of Moscow, the doctor is also seen scuffling with another man accompanying the patient and it is not noticed until minutes later that the first man is lying motionless on the floor after which other doctors try in vain to revive him.

They then drag away the man's body away after which an orderly mops up blood stains. The delay of the investigation of the footage has led to accusations of a cover-up. Russian media named the doctor as a surgeon Ilya Zelendinov and the patient as 56-year-old Yevgeny Bakhtin. [news via ibtimes.co.uk]

  • Here is a related story from Russia which was reported back in 2013, "Doctor Punches Heart Surgery Patient In Chest" - Video shows the top anaesthesiologist - who says he "got carried away" - hitting the man while he was strapped to a hospital bed."

The Russian medical industry has been subject to a veil of secrecy. In September 2015, a Russian plastic surgeon was shot dead by a disgruntled patient, who was unhappy with how his nose job turned out. Dr Alexander Remizov was also shot dead by former patient Yury Lebedev, 34, after the assailant entered his office at the Russian Railways hospital in Saint Petersburg armed with a rifle.

Why are you Waiting for right time and Refusing risks if you want to succeed?

Have you ever told yourself that you’re going to make something happen and then nothing happened? That’s because you didn’t follow through. You didn’t have the right rituals in place – little things you do each day that build up and gradually condition your body and mind to make things happen.

Here are little things people do every day that stop them from moving forward with their lives:

You keep waiting for the right time.

– You cannot wait for the perfect time; it will never come. If you think now feels like the wrong time, think again. It’s just uncertainty messing with your mind. Most of the time you must simply dare to jump. Today is the first day of a new beginning – the conception of a new life. The next nine months are all yours. You can do with them as you please. Make them count. Because a new person is born in nine months. The only question is: Who do you want that person to be? Right now is the time to decide.

You refuse to accept necessary risks. 

– Living is about learning as you go. Living is risky business. Every decision, every interaction, every step, every time you get out of bed in the morning, you take a small risk. To truly live is to know you’re getting up and taking that risk, and to trust yourself to take it. To not get out of bed, clutching to illusions of safety, is to die slowly without ever having truly lived. Think about it: If you ignore your instincts and let shallow feelings of uncertainty stop you, you will never know anything for sure, and in many ways this un-knowing will be worse than finding out your instincts were wrong. Because if you were wrong, you could make adjustments and carry on with your life without looking back and wondering what might have been.

By Angel Chernoff
Marc and Angel Hack Life
Practical Tips for Productive Living

Taarifa nzima ya habari ChannelTEN, Jumamosi 09.01.2016


[video] Samatta azungumza baada ya kutua Dar
Zifuatazo ni picha kutoka kwenye blogu ya Francis Dande - HabariMseto

Mshindi wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Afrika wa Wachezaji wa Ndani 2015, Mbwana Samata akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam akitokea Abuja, Nigeria katika hafla ya utoaji tuzo kwa mwanamichezo bora. (Picha na Francis Dande)

Mchezaji Boara wa Afrika, Mbwana Samata akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam akitokea Abuja, Nigeria. Kulia ni mzee Ali Samataakimlaki mtoto wake.

Mbwana akiwapungia mkono mashabiki waliofika uwanja wa Ndege kumpokea.

Mbwana Samata akiangalia tuzo yake.

Mashabiki wa soka wakimpokea Mbwana Samata.

Mbwana akifurahia tuzo yake.

Mbwana akiwa amezongwa na mashabiki wa soka waliokuja kumpokea.

Samata akiwa amepozi kwa picha.

Waandishi wa habari wakifanya mahojiano.

Maashabiki wa Mbwana Samata wakijaribu kuzuia gari alilopanda.

Mbwana Samata akiwa na tuzo yake.

Mbwana Samata akifurahia tuzo yake.

Wafanyakazi wa New Habari wakiwa katika picha ya pamoja na mchezaji Bora wa Afrika, Mbwana Samata.Thomas Ulimwengu akiwa ameshika tuzo aliyopata Mbwana Samata.

Wadau wa New Habari wakiwa katika picha ya pamoja. Kulia ni Naibu Mkurugenzi Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Yasoda.

Mbwana Samata akiwa na mdau Francis Dande (kushoto)

Thomas ulimwengu.


Mhariri wa Michezo wa gazeti la Tanzania Daima, Tullo Chambo (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mchezji Bora wa Afrika, Mbwana Samata na mwandishi, Salum Mkandemba.

Mkurugenzi wa Ufundi wa Shirikisho la Soka Tanzania TFF, Salum Madadi akipongeza Mbwana Samata kwa tuzo aliyotwaa.

Thomas Ulimwengu akimpongeza Mbwana Samata.


Thomas Ulimwengu akiibusu tuzo ya Mbwana Samata.

Mkurugenzi Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Yasoda akizungumza katika hoteli ya Serena mara baada ya Mbwana Samata kuwasili.

Mchezaji Bora wa Afrika, Mbwana Samata akizungumza na waandishi wa habari katika hoteli ya Serena mara baada ya kuwasili akitokea Abuja Nigeria katika hafla ya utoaji wa tuzo kwa mchezji bora wa Afrika.

Mshambulia wa TP Mazembe, Thomas Ulimwengu akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na tuzo aliyopata Samata.

Samata akiwa na tuzo yake.

Mashabiki waliokuja kumpokea wakicheza kwa furaha.

Ngoma za kila aina zilikuwepo Uwanja wa Ndege wakati wa mapokezi ya Samata.Mzee Ali Samata akifurahia tuzo aliyopata mtoto wake.

Umati wa watu waliojitokeza katika mapokezi ya Samata.


Wadau wa michezo wakimpongeza mzee Ali Samata.Familia ya mzee Ali Samata.


Wadau

Vikundi mbalimbali vikitumbuiza.Mzee Ali Samata akiwa na mkewe wakati wa mapokezi ya mtoto wao.

Mikakati ya mapokezi..

Mzee Ali Samata akisalimia na Mkurugenzi Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Yasoda.


Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe akizungumza na waandishi wa habari wakati wa mapokezi ya Mchezji Bora wa Afrika, Mbwana Samata.

Faida ya kuhifadhi misitu: Kijiji cha Nanjilinji chatoa ruzuku kwa wajawazito

Na. Ahmad Mmow, Kilwa-LINDI.

Uhifadhi wa msitu katika kijiji cha Nanjilinji A, wilayani Kilwa mkoani Lindi, umeendelea kuwanufaisha wananchi wakazi wa kijiji hicho baada ya kuanza kuwapatia ruzuku akina mama wajawazito wanaoishi katika kijiji hicho.

Hayo yameelezwa na mwenyekiti wa serikali ya kijiji hicho, Jafari Nyambate, mwanzoni mwa wiki hii alipozungumza na Lindiyetu.com mjini Kilwa masoko.

Nyambate alisema baada ya kutekeleza miradi mbalimbali ya jamii kwa kutumia fedha zilizotokana na mauzo ya mazao ya msitu waliohifadhi, unaofahamika kwa jina la Mbumbila, Kijiji kimeanza kuwapa ruzuku ya shilingi 30,000 akina mama wajawazito wakazi wa kijiji hicho.

Ikiwa ni mchango wa maandalizi ya gharama za matibabu wakati wakujifungua.

"Fedha hizo zinatolewa kwa mama ambaye mimba yake imefikisha umri wa miezi tisa, muda ambao anatarajia kujifungua ili aweze kufanya maandalizi ikiwamo kununua vifaa vitakavyotumika wakati huo,"alisema Nyambate.

Alibainisha kuwa huo nimwendelezo wa huduma mbalimbali za jamii zilizotekelezwa kutokana na mapato ya msitu huo. Ambapo baada ya kufanikiwa mpango huo,wanajipanga kuanza kutoa ruzuku kwa wazee wasiojiweza.

Mwenyekiti huyo aliitaja baadhi ya miradi iliyotekelezwa kutokana na mapato ya msitu huo kuwa ni vyumba vi 3 vya madarasa ya shule ya msingi, visima vifupi 7 vya maji, soko, vyoo vya kudumu vya shule ya msingi vyenye matundu 6.

Aliitaja miradi mingine kuwa ni pamoja na nyumba moja ya mwalimu, madawati 26, bomba la maji la shule na viti 100 vinavyotumika wakati wa mikutano mikuu ya kijiji.

Hata hivyo pamoja na mafanikio hayo, mwenyekiti huyo alisema wanakabiliwa na changamoto mbalimbali. Ikiwamo uvamizi unaofanywa na wakulima, hasa wa zao la ufuta ambao wanalazimisha kuendesha shughuli za kilimo ndani ya msitu waliouhifadhi.

"Lakini pia wapo wanaopasua mbao kwa njia haramu, nao wanatusumbua sana ila tunakabiliana nao kwa kufanya doria za mara kwa mara, hasa baada ya kamati ya maliasili kuwezeshwa pikipiki tatu zinazotumika kwa doria," aliongeza kusema.

Uvunaji katika msitu huo wenye hekta 61724, ulianza rasmi mwaka 2012.

Mdau awasilisha taarifa "huduma ya massage kumbe wanauza wanawake"

Mmoja wa wasomaji ametuma ujumbe huu kupitia sanduku letu la mawasiliano
naomba kueleza taarifa ya watu wanaojifanya kutoa huduma ya massage kumbe wanauza wanawake na wanaomba kufanya ngono na wateja ambao huenda kwa ajili ya massage ambayo ipo msasani nyuma ya jengo la tanesco kuna kibao kimeandikwa king massage hio link yao na number ya simu ya mhusika naomba lifatiliwe kwa kina hatari
https://www.facebook.com/pages/King-Massage-Spa/1568882520040131
Regards
AS