Polisi yakataza maandamano ya BAVICHA: Makao Makuu - Ikulu, Dar es Salaam


IPTL yataja kiwango inacholipwa na TANESCO kwa siku


Waziri Maghembe akiri aliyetungua ndege hifadhili alikuwa na mafunzo ya hali ya juu


Mkuu wa Wilaya amsimamisha kazi Afisa Mtendaji Kata kwa kujimilikisha fedha za serikali


Call for applications: 2016 Small Grants Programme for Thesis Writing

Call for Applications

2016 Small Grants Programme for Thesis Writing

DEADLINE: 30th APRIL 2016

The Council for the Development of Social Science Research in Africa (CODESRIA) is pleased to announce the twenty-seventh session of its Small Grants Programme for Thesis Writing. The grants serve as part of the Council’s contribution to the development of the social sciences in Africa, and the continuous renewal and strengthening of research capacities in African universities, through the funding of primary research conducted by postgraduate students. Hence, candidates whose applications are successful are encouraged to use the resources provided under the grants to cover the cost of their fieldwork, the acquisition of books and documents, the processing of data which they have collected and the printing of their dissertations. As the Council is strongly committed to encouraging African researchers to engage one another on a sustained basis, recipients of the small grants will also be supported to order books and journals produced by African scholarly publishers, including CODESRIA itself. They will also be encouraged to apply for participation in CODESRIA research training workshops.

ELIGIBILITY: The CODESRIA Small Grants Programme is opened to students currently registered in PhD in African universities, and preparing their research in all social science fields and other disciplines involving social or economic analysis.

APPLICATION PROCEDURES: Grants are awarded solely on merit, that is, on the strength of each individual application received by CODESRIA. All applicants are required to use the application forms designed by CODESRIA which is made available along with this announcement. The application forms can also be downloaded from the CODESRIA website (www.codesria.org). In filling out the forms, applicants are requested to bear the following guidelines in mind:

·          Research proposal: The research proposal should be based on an innovative problematic which sets out the originality of the theme in relation to on-going research in the same area. Candidates’ research proposals should each contain a clear statement of the research hypotheses, a critical review of the existing literature, the methodology to be used, the expected results of the work, and a detailed work plan and timetable.

·          Budget: Applicants should present a detailed budget with expenses clearly linked to specific phases of their research. The budget should not exceed USD 5,000. Only trips for fieldwork in the country in which the research is actually conducted are funded under this grant.

·          Statement of institutional support: A statement is required from each applicant’s institution of affiliation, giving approval to the proposed research and an assurance of continued institutional support throughout the preparation of the dissertation. This should be done on the institution’s letterhead and must carry the official stamp. Contact details of the officer issuing the statement must also be included. CODESRIA will contact him if necessary.

·          Letters of reference: Two letters of reference must accompany each application, one from the dissertation supervisor, assessing the applicant’s research proposal and abilities; and the other from a faculty member, assessing the applicant in relation to other graduate students, and commenting on the scientific merit and validity of the proposed research. Contact details of the dissertation supervisor must be included in the letter of reference.

·          Curriculum vitae: Applicants must include their current curriculum vitae which, among other things, indicates their discipline and nationality, and provides a list of their recent publications and on-going research activities.

Please note that any application submitted without a duly completed application form will automatically be dismissed.

APPLICATION DEADLINE: The deadline for the receipt of applications is 30th April, 2016. Incomplete and late applications will not be considered. All applications should be submitted electronically to: [email protected]

For specific questions, please contact:

The Small Grants Programme for Thesis Writing

CODESRIA
BP 3304, CP 18524
Dakar, Senegal

How to easily relieve ear pain when flying


One way of relieving pain from your ears when flying is to close mouth, plug nose, and exhale as hard as you can. Note that  this can be painful and uncomfortable, especially children.

The other way is to follow William H. Shapiro, an audiologist and a clinical associate professor from NYU Langone who recommends to close mouth, plug nose and swallow. This method is considered a little comfortable than the “Valsalva maneuver” mentioned above. 

You may have to do either one more often in order to equalize pressure in your ears and stop the pain.

Dr. Shapiro explains in the video below...

"CrazyRussianHacker" tests 10 Brands of bottled water for pH, see the results for yourself


[video] Maelezo ya Etty Kusiluka kuhusu MSD na suala la dawa nchini


Taarifa ya habari ChannelTEN, 02.02.2016Maelezo ya ndugu wa dada aliyebandikwa "Msukule" na kuaibishwa na 'social media'Watu kwenye mitandao ya kijamii na simu walikimbilia kuhusisha imani za uchawi na ushirikina na hata kutengeneza picha ya mtu mwingine kwa lengo wanalolojua wao.

Haya yote ya nini? Najiuliza, wanapata nini hasa watu wakifanya hivi? Ubinadamu umekwenda wapi. Ya nini kukimbilia kutoa habari na kusema mambo usiyo na uhakika nayo na bila kujali madhara yatakayotokana na unachosema ama kufanya. Laiti tungekuwa tunafikiria matokeo ya maamuzi yetu, tungedumisha utu na ubinadamu. 

Ni leo tu ripoti ya polisi Mbeya inasema wanaume 2 (ipo hapo chini) wameuawa kwa imani za kishirikina. Haya mpaka lini? Au wateseke na kufa wangapi ndiyo tujue kuwa tunauana na kumalizana shauri ya kutokufahamu na ujinga?


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIWIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHIJESHI LA POLISI TANZANIA
TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI
“PRESS RELEASE” TAREHE 02.02.2016.


· WAZEE WAWILI WAMEUAWA KIKATILI WILAYANI KYELA MKOANI MBEYA KUTOKANA NA IMANI ZA KISHIRIKINA.

· MWANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MAPAMBANO JIJINI MBEYA AFARIKI DUNIA PAPO HAPO BAADA YA KUGONGWA NA GARI.

· MWENDESHA PIKIPIKI AFARIKI DUNIA KATIKA AJALI ILIYOHUSISHA GARI KUGONGANA NA PIKIPIKI.

KATIKA TUKIO LA KWANZA:
WAZEE WAWILI WAKAZI WA KITONGOJI CHA BULINDA WILAYA YA KYELA MKOANI MBEYA WALIOFAHAMIKA KWA MAJINA YA 1. GENELI KAPWELA [65] NA 2. RAHABU BUNGULU [70] WALIUAWA KWA KUKATWA NA VITU VYENYE NCHA KALI SEHEMU MBALIMBALI ZA MIILI YAO NA KISHA KUCHOMWA MOTO NA WANANCHI WALIOAMUA KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI.

MIILI YA MAREHEMU ILIKUTWA KATIKA NYUMBA WALIMOKUWA WAKIISHI MNAMO TAREHE 01.01.2016 MAJIRA YA SAA 08:00 ASUBUHI HUKO KITONGOJI CHA BULINDA, KIJIJI/KATA YA MATEMA, TARAFA YA NTEMBELA WILAYA YA KYELA MKOA WA MBEYA.

KATIKA TUKIO HILO, GENELI KAPWELA ALIUAWA KWA KUTENGANISHWA KICHWA NA KIWILIWILI NA KUKATWA MKONO WA KUSHOTO NA VIUNGO HIVYO HADI SASA HAVIJULIKANI VILIPO NA RAHABU BUNGULU ALIUAWA KWA KUCHOMA NA KITU CHENYE NCHA KALI NA WANANCHI WALIOAMUA KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI.

INADAIWA KUWA, WANANCHI HAO WALIVAMIA NYUMBA WALIYOKUWA WAKIISHI MAREHEMU KISHA KUWAKATA NA VITU VYENYE NCHA KALI NA BAADA YA KUTEKELEZA MAUAJI HAYO, WATU HAO WALIANGUSHA NYUMBA WALIYOKUWA WAKIISHA AMBAYO ILIKUWA IMEJENGWA KWA MIANZI NA KISHA KUICHOMA MOTO.

CHANZO CHA TUKIO HILO NI IMANI ZA KISHIRIKINA KWANI MAREHEMU WALIKUWA WANATUHUMIWA KULETA UGONJWA WA KIPINDUPINDU KIJIJI HAPO KWA NJIA ZA KISHIRIKINA. WATU WAWILI WAMEKAMATWA KWA MAHOJIANO KUHUSIANA NA TUKIO HILO AMBAO NI 1. ALIKO MWAMTOBE [47] MKAZI WA MATEMA NA 2. ALISOLOMON MWAMTOBE [49] MKAZI WA KITONGOJI CHA BULINDA.

KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA KAMISHNA MSAIDIZI MWANDAMIZI WA POLISI AHMED Z. MSANGI ANATOA WITO KWA JAMII KUACHA IMANI POTOFU ZA KISHIRIKINA KWANI ZINA MADHARA MAKUBWA KATIKA JAMII.

KATIKA TUKIO LA PILI:

MWANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MAPAMBANO ILIYOPO JIJINI MBEYA ALIYEFAHAMIKA KWA JINA LA FELISTA MWANSASU [12] AMEFARIKI DUNIA PAPO HAPO BAADA YA KUGONGWA NA GARI LENYE NAMBA ZA USAJILI T.949 CVS AINA YA MITSUBISHI FUSO LILILOKUWA LIKIENDESHWA NA NSAJIGWA ALISALA [39] MKAZI WA MBEYA.

TUKIO HILO LIMETOKEA MNAMO TAREHE 01.01.2016 MAJIRA YA SAA 07:50 ASUBUHI HUKO MAENEO YA MAFIATI, KATA YA MUUNGNANO, TARAFA YA IYUNGA, JIJI NA MKOA WA MBEYA KATIKA BARABARA YA MBEYA/TUNDUMA.

CHANZO CHA AJALI KINACHUNGUZWA. MWILI WA MAREHEMU UMEHIFADHIWA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA. DEREVA AMEKAMATWA, UPELELEZI UNAENDELEA.

KATIKA TUKIO LA TATU:
MWENDESHA PIKIPIKI ALIYEFAHAMIKA KWA JINA LA ASIFIWE MWANTOBE [25] MKAZI WA TUNDUMA MKOANI MBEYA AMEFARIKI DUNIA BAADA YA PIKIPIKI ALIYOKUWA AKIENDESHA KUGONGANA NA GARI LENYE NAMBA ZA USAJILI T. 975 CPS AINA YA TATA BUS LILILOKUWA LIKIENDESHWA NA EMANNUEL ADAM [36] MKAZI WA MBEYA.

TUKIO HILO LIMETOKEA MNAMO TAREHE 01.01.2016 MAJIRA YA SAA 18:00 JIONI HUKO MAPOROMOKO KATIKA BARABARA YA TUNDUMA/MBEYA, WILAYA MOMBA, MKOA WA MBEYA.

INADAIWA KUWA, MARA BAADA YA AJALI HIYO PIKIPIKI ALIYOKUWA AKIENDESHA MAREHEMU ILITOROSHWA NA WATU WASIOJULIKANA. MWILI WA MAREHEMU UMEHIFADHIWA KITUO CHA AFYA TUNDUMA. CHANZO CHA AJALI KINACHUNGUZWA. DEREVA WA BASI AMEKAMATWA NA UPELELEZI UNAENDELEA.

KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA KAMISHNA MSAIDIZI MWANDAMIZI WA POLISI AHMED Z. MSANGI ANATOA WITO KWA MADEREVA KUWA MAKINI WANAPOTUMIA VYOMBO VYA MOTO IKIWA NI PAMOJA NA KUFUATA NA KUHESHIMU SHERIA NA ALAMA ZA USALAMA BARABARANI ILI KUEPUKA AJALI ZINAZOEPUKIKA. AIDHA ANATOA WITO KWA WATUMIAJI WENGINE WA BARABARA KUWA MAKINI KATIKA MATUMIZI YA BARABARA HASA KWA KUFUATA SHERIA ZA BARABARANI.

Imesainiwa na:
[AHMED Z. MSANGI – SACP]

KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA.

[video] Kauli ya BAKWATA na barua ya Amir wa Uamsho kutoka gerezeni kuhusu marejeo ya uchaguzi ZanzibarWAKATI chama cha wananchi (CUF) ambacho ni chama kikuu cha upinzani visiwani Zanzibar kikiwa kimesusia uchaguzi wa marudio ambao unafanyika Marchi 20 ya mwaka huu, Baraza la Waislam Tanzania  (BAKWATA) limesema marudio ya uchaguzi huo ndiyo njia ya kipekee ya kurudisha amani visiwani humo.

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Sheikh Mkuu mkoani hapa, Alhaji Mussa Salum amesema BAKWATA inaunga mkono tangazo la ZEC.

“Uchaguzi huu wa marudio kwetu BAKWATA tunaona ndiyo njia ya kipekee ya kukiweka kisiwa cha Zanzibar kuwa sehemu ya amani na utulivu, natumia nafasi hii kuwaomba chama cha CUF kushiriki uchaguzi huu,” amesema Sheikh Salum.

Sheikh Salum ameongeza kwa kusema kuwa hata kiongozi wa Jumuiya ya "Uamsho" Visiwani Zanzibar, Sheikh Farid Hadi Ahmad amemwandikia barua na kumweleza kuwa kurudiwa kwa uchaguzi kutasaidia kurudisha amani visiwani humo.

Katika hatua nyingine, baraza hilo limeipongeza serikali ya Awamu ya Tano kwa jitihada mbalimbali inazofanya za kuimarisha nidhamu, kubana matumizi na kukuza uchumi.

"Pia tunaipongeza serikali ya awamu ya tano, inayoongozwa na Mhe. John Magufuli kutokana na hatua mbali mbali inazozichukua zenye lengo la kuimarisha nidhamu hasa kwa watumishi wa umma, hatua mabazo zimeanza kuleta tija kubwa ka taifa letu kama wote hivi leo tunavyoweza kushuhudia jinsi pato la serikali likongezeka mwezi hadi mwezi,” alisema Sheikh alhaji Mussa Salum na kuongeza: “Aidha tunaipongeza kwa dhamira yake ya kubana na kupunguza matumizi ya serikali, na badala yake kuelekeza fedha kwenye huduma za jamii na watanzania tumeshaanza kunufaika na huduma hizo kama vile suala la elimu bure."


Msaada wa kisheria kuhusu kuuza kiwanja

Nina kiwanja nilipewa zawadi Nina Deed Of Gift nilipotaka kuuza nikaambiwa sina Locus naomba msaada wa kisheria.

Regards,

Thadeus Mbena | [email protected]

Kadogosa ateuliwa kuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TRL

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amemteua Bwana Masanja Kungu Kadogosa kuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRL), ambako anakwenda kuchukua nafasi ya Mhandisi Elias Mshana ambaye anastaafu hivi karibuni.
Kabla ya Uteuzi huo Bwana Masanja Kadogosa alikuwa Mkurugenzi Idara ya Mikopo Benki ya Rasilimali Tanzania (TIB). Uteuzi huo unaanza mara moja.

Imetolewa na;

Kitengo cha Mawasiliano Serikalini.
02 Februari, 2016