UK Partners with the Judiciary of Tanzania to tackle serious crime


The Deputy British High Commissioner, Matt Sutherland, and the Honorary Presiding Judge of the High Court, Shaban Lila, attended the course to congratulate the participants.

The course is funded by the United Kingdom government as part of the joint commitment by Tanzania and the United Kingdom to work closely together to tackle serious crime.

The course is designed to support the Tanzania judiciary tackle the growing national and international threats of serious crime including drug trafficking, illegal wildlife trade, terrorism and the recovery of criminal assets.

There are 14 Principal Magistrates attending from Courts across Tanzania including: Kisutu, Kigoma, Arusha, Moshi, Mwanza, Sumbawanga, Temeke, Dodoma, Kinondoni and Mbeya

The programme is being hosted by the Criminal Justice Advisor from the British High Commission. The trainers include experienced judges from the United Kingdom;, Nick Barker who has trained judges in Pakistan, Kenya, Nigeria and Somaliland and Peter Moulson QC.

This is part of a package of support between Tanzania and the United Kingdom on serious international crime. This includes work with police, prosecutors and law makers.

This is the second training provided to the judiciary and follows training to High Court judges provide in November 2015.

The Indian Ocean region is increasingly being used by drug traffickers to transport large volumes of illegal drugs to East Africa from Afghanistan and Pakistan. Since 2012 international naval forces in the region have stopped more than 44 vessels and seized more than 8 tonnes of heroin and 30 tonnes of hashish.

The joint work between the UK and Tanzania has led to the detention and prosecution of international drug traffickers in both Tanzania and the United Kingdom.

Matt Sutherland explained why the UK was supporting this work:

“Tanzania and the United Kingdom have a common interest in tackling serious crime together. We are increasingly seeing that international criminals use international networks to traffick drugs, export wildlife trophies or hide the profits of crime. It is only by working together that we can make sure there are no safe havens for criminals.

I am delighted that the UK is able to work so closely with Tanzania in this work. It has already been very successful.

I am pleased that Tanzanian and UK judiciary are able to work together in this course. The common history of our laws and legal institutions means that we are able to learn from each other. This course will provide valuable, practical training to those in the front line fighting serious crime in Tanzania.

I am delighted that the United Kingdom government is able to partner with the Judiciary of Tanzania.”

British Minister for Africa visit to Tanzania


James Duddridge, the United Kingdom’s Minister for Africa, visited Tanzania 7-8 March. During the visit Mr Duddridge met with Minister for Foreign Affairs Mahiga, Trade and Industry Minister Mwijage, and the Minister for Policy, Parliament and Employment in the Prime Minister’s Office, Jenista Mhagama.

Mr Duddridge met with major UK investors and heard about the potential for British business in Tanzania. He also visited the Port of Dar es Salaam to see UK-Tanzanian cooperation on counter-narcotics and saw how UK Export Finance is supporting the construction of a new Terminal at Julius Nyerere International Airport.

At the end of his visit Mr Duddridge said:

“Tanzania has been a great friend of the UK for many years and I enjoyed seeing how our relationship has developed and grown over a broad range of issues, including through our UK-Tanzania prosperity partnership, which has the potential to benefit both our countries greatly. I also raised my concerns over the political situation in Zanzibar. With so many connections, friendships and common priorities, Tanzania and the UK can build a partnership that will deliver benefits for both our countries for many years to come.”

Hoteli ya kisasa Abla Beach Apartments, Beit Ras, ZanzibarKaratasi inavyoonesha watakaopigiwa kura katika uchaguzi wa marudio Zanzibar 2016Picha za ujio wa Makatarsi na huyo anayeonekana hapo ni Mkurugenzi wa ZEC Salim Kassim Ali akitoa maelezo ya kuwasili kwake uwanja wa ndege Zanzibar.


Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imendelea na msimamo wake wa kuhakikisha kwamba vyama vyote vinashiriki katika uchaguzi wa marejeo unatarajiwa kufanyika march 20 mwaka huu.

Hayo yamedhihirikia leo pale ZEC waliupopokea makaratasi ya kupigia kura kutoka Afrika ya Kusini yakiwa yamechapishwa ikihusisha wagombea woote hata wale ambao waliomba kuondolewa katika karatasi hizo kwa madai kwamba uchaguzi huo si halali.

Akizungumza na waandishi baada ya kupokea karatasi hizo Mkurugenzi wa Tume hiyo Salim Kassim Ali alionesha mfano wa karatasi hizo ambazo hata chama kikuu cha upizani CUF kilichopiga kelele mara kwa mara nacho kimeorodheshwa.

“Wagombea ni walewale waliokuwa katika uchaguzi uliopita ambao waliteuliwa tarehe 6 september 2015 na kama mnavyoona karatasi zetu za mfano” alisema Ali.
Alisema kujiondoa kuna taratibu za kisheria ambazo hazikufuatwa kuda kutokana na hilo wamefanya uchapishaji ule ule wa mwaka jana.

Alisema kilichobakia sasa karatasi hizo ni kuzipeleka kwenye ghala la kuhifadhia karatasi hizo hadi hapo Tarehe 17/03/2016 ambapo zitaaza kusambazwa katika vituo.

Alisema tarehe 18 mwezi huu wataaza kuzipeleka kisiwa cha Pemba na 19 ni katika vituo vyote vya Unguja.

Ali alieleza kwamba wamechapisha makaratasi hayo kulingana na Idadi ya wapiga kura wote ambao wameorodheshwa katika Daftar la wapiga kura Zanzibar ambao ni 503,850.

“Tutahakisha mara hii karatasi zoote zimefika mapemaa sanaa ili kuondoa matatizo ambayo yailiweza kujitokeza katika chaguzi zilizopita” alisema Mkurugenzi huyo.

Kwa upande wa gharama za uchapishaji na usafiri muhasibu wa ZEC Yusouf Ali Hassan alisema mara hii wametumia USD 25,000 kiasi ambacho ni kidoogo kulingana uchaguzi uliopita kwa tofauti ya dola 50,000.

Alifahamisha kwamba ghara zote hizo ziliweza kutolewa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar bila ya mkopo wowote.

“Tulilipa kwa awamu 60% na ilipokamilika kazi ya uchapisha tumemaliza kilichabakia na kwa maana hiyo hatudaiwi” alisema Hassan.

Akizungumza kiwanjani hapo mwakilishi wa chama cha TADEA Rashid Mchenga alisema anaishukuru ZEC kwa kufanya mambo yao kwa wakati. Alisema wao watashiriki kifua mbelee na hana wasiwasi katika uchagfuzi huo.

Ikumbukwe kwamba vyama zaidi ya 10 viliaandikia ZEC vikiomba kuondolewa katika katasi hizo lakini mambo yamekwenda kinyume chake na sasa majinan na picha yataonekana vile vile.

Vyama vyoote 14 ambavyo vilishiriki uchaguzi 25 October 2015 ndivyo vile vile ambavyo vimechapishiwa makaratasi ya kupigia kura.

Vyama ambavyo vitashiriki ni ACT Wazalendo, ADA-TADEA, ADC, CCK, CCM, CHAUMA, CUF, DP, JAHAZI ASILIA, MAKINI, SAU na TLP.

Wire transfer fees by financial institution in the U.S.A

Here’s a breakdown of the cost to send and receive wire transfers domestically and abroad at some bigger banks and credit unions as per Nerd Wallet article (click the link for more definition on Wire transfers vs. ACH transfers and Outgoing vs. incoming fees)

Baraza la Madiwani latangaza Monduli kuacha kukarabati magari kwa wakala wa serikali

Monduli, Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Monduli mkoa wa Arusha, limetangaza kujiondoa kutengeneza magari yake,wakala wa serikali wa ufundi na umeme (TEMESA), kutokana na gharama kubwa ya vipuri tofauti na bei halali za soko.

Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Monduli, Isack Joseph alitoa maamuzi hayo, baada ya kupokea taarifa ya matengenezo hafifu na malipo makubwa ya magari ambayo ilitolewa na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Ephraem Ole Nguyaine.Joseph alisema haiwezekani TEMESA wawauzie kioo (wind Screen) cha gari kwa sh 900,000 wakati kioo hicho kinauzwa sh. 300,000 na pia wamefanya matengenezo kwa ya magari kwa sh 2 milioni hadi milioni 3 wakati matengenezo hayo gharama yake ni kati ya 600,000 na Sh1 milioni.

“huu ni mfano hai na gharama hizi, zimetumika katika gari STK 2223 na tuna risiti zote jambo ambalo tunaamini ni wizi,” alisema.

Mwenyekiti huyo, alisema wao waliamini TEMESA kwa kuwa ni taasisi ya serikali ingefanyakazi nzuri lakini wao sasa ndio wamekuwa tatizo na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu.

Awali Mkurugenzi wa halmashauri hiyo Ole Nguyaine alisema tayari ameandika barua ya malalamiko hayo kwenda kwa katibu Tawala mkoa wa Arusha na TEMESA makao makuu, kulalamikia malipo ya matengenezo hafifu.

Katika barua hiyo, pia halmashauri hiyo, imelalamikia tatizo la kuchelewa kutengenezwa magari kutokana na kutaka kuliwa kabla hali ya kuwa mfumo wa malipo ya halmashauri kwa sasa haiwezekani.

“Pia TESEMA wanakataa kujaza fomu za TIMS pamoja na matengenezo kufanyika kwao, hali ya kuwa halmashauri zinatakiwa kufuata utaratibu wa TIMS kwenye matengenezo ya magari” alisema.

Kutokana na mapungufu hayo, baraza hilo limeagiza halmashauri kutafuta utaratibu mwingine wa kutengeneza magari ambao unapunguza matumizi ya fedha za umma yasiyo ya lazima ili fedha hizo zifanye kazi ya maendeleo.

Hata hivyo, hakuna afisa wa TEMESA mkoa wa Arusha ambaye alikuwa tayari kuzungumzia malalamiko hayo, kwa maelezo kuwa barua za malalamiko zipo ngazi za juu.
 • Taarifa ya Mahmoud Ahmad, Monduli.

Mauritius scholarships for Tanzanian students 2016

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

MINISTRY OF EDUCATION, SCIENCE, TECHNOLOGY AND

VOCATIONAL TRAINING

Taarifa ya habari ChannelTEN, Machi 11, 2016


New Zealand scholarships for Tanzanians

Ministry of Education, Science, Technology and Vocational Training


New Zealand Commonwealth Scholarships: 2016

Applications are invited from qualified Tanzanians for Masters and Doctorate programmes for the 2016 New Zealand Commonwealth Scholarships under the Commonwealth Scholarships and Fellowship Plan (CSFP).

QUALIFICATIONS

Masters

Applicants for Masters’ degree must:
 • Have a Bachelor Degree with GPA of not less than 3.5 (This is not applicable for Health Sciences);
 • Be not more than 35 years old as of February 2017.
Doctorate
 • Have a Masters Degree with GPA of not less than 4.0 or an average of “B” or above;
 • Be not more than 40 years old as of February 2017.
MODE OF APPLICATION:
 • All applicants must fill in application forms which can be easily accessed from the following link: https://www.mfat.govt.nz/en/aid-and-development/scholarships/who-can-apply-for-a-scholarship/africa-scholarships-commonwealth-countries/ or you can Google “Application form New Zealand Commonwealth Scholarships 2017”.
 • All applicants must seek and get admission from one of the Universities in New Zealand and you should attach a copy of admission notice with the filled application form.
 • All applicants must attach the Evidence from Higher Education Students’ Loans Board to that they started repayment of the loans or completed paying the loans or they were not beneficiaries.
 • Applicants must ensure that they fulfill all requirements as depicted on the checklist on the application form.
All applications should be addressed to: Permanent Secretary,
Ministry of Education, Science, Technology and Vocational Training, 7 Magogoni Street,
P. O. Box 9121,
DAR ES SALAAM.

So as to reach her not later than 30th May, 2016.

Information from SUA to Students transferred from St. Joseph University

____________

For your convenience, wavuti.com obtained the following links with information for students, from the TCU website, which you can click and read the details.


 1. Decision on Students who were at the then SJUIT Arusha Campus and were discontinued from studies due to Student unrest
 2. List of transferred Diploma Students from St. Joseph University College of Information Technology (SJCIT) to Sokoine University of Agriculture (SUA)
 3. Additional list of Transferred Students from St Joseph University in Tanzania (SJUIT) to other Universities
 4. List of Transferred students from St. Joseph University College of Agriculture and Technology (SJCAST) & St. Joseph University College of Information Technology (SJCIT) - Songea and St. Joseph University in Tanzania (SJUIT) - Arusha Campus to other Universities
 5. CLARIFICATION ON RUMOURS ABOUT THE FATE OF REMAINING ST. JOSEPH UNIVERSITY IN TANZANIA (SJUIT) CAMPUSES
 6. UFAFANUZI KUHUSU HATMA YA KAMPASI ZILIZOBAKI ZA CHUO KIKUU CHA MT. YOSEFU TANZANIA (SJUIT)

Waziri aagiza DAWASCO kusimamisha kazi mameneja 9Pichani ni Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Inj. Gerson Lwenge (katikati) akiongozana na Mwenyekiti wa bodi ya Shirika la Maji taka na Maji safi Dar es Salaam (DAWASCO), Meja General (mstaafu), Samuel Kitundu (kushoto) na Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASCO, Cyprian Luhemeja , wakati Waziri huyo alipoitembelea Dawasco jana na kisha kutangaza watumishi tisa ambao ameiagiza bodi kuwasimamisha kazi kupisha uchunguzi dhidi yao kufuatia tuhuma mbalimbali. Mhandisi Lwenge alitembelea leo.

WATUMISHI AMBAO WAZIRI AMEAGIZA BODI IWASIMAMISHE KAZI NI:-

Meneja Rasilimali Watu - Mvano Mandawa, Meneja Ufuatiliaji na Tathmini - Rainery Kapera, Teresia Mlengu, Emmanuel Guluba, Peter Chacha, Fred Mapunda, Reginald Kessy, Jumanne Ngelela na Bernard Nkenda. 

Aidha Waziri Lwenge aliagiza pia kuchunguzwa kwa CEO wa zamani Jackson Midala.

Miongoni mwa tuhuma zao ni pamoja na kufanya maunganisho ya maji yasiyofuata utaratibu kwa kampuni ya STRABAG inayotekeleza mradi wa mabasi yaendayo kasi na kusababisha kulikosesha shirika mapato yenye thamani ya sh Bilioni 2.8 (2,887,577,134/=).

Mameneja wa DAWASCO wakiwa katika mkutano huo. Baadhi yao walisimamisha kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazo wakabili.


Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Inj. Gerson Lwenge (aliyesimama) akizungumza na bodi pamoja na menejimenti ya Shirika la Maji taka na Maji safi Dar es Salaam (DAWASCO) wakati Waziri huyo alipotembelea makao makuu ya shirika hilo Dar es Salaam jana na kuiagiza bodi kusimamisha kazi watumishi tisa.
Mameneja wa DAWASCO wakiwa katika mkutano huo. Baadhi yao walisimamisha kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazo wakabili.

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Inj. Gerson Lwenge (aliyesimama) akizungumza na bodi pamoja na menejimenti ya Shirika la Maji taka na Maji safi Dar es Salaam (DAWASCO) wakati Waziri huyo alipotembelea makao makuu ya shirika hilo Dar es Salaam jana na kuiagiza bodi kusimamisha kazi watumishi tisa.

How to control your finances and keep money from messing up your marriage

So What's A Couple To Do?

Kitty Bressington is a financial adviser in Rochester, N.Y., who specializes in helping couples. First, she says, you need to "get all of the issues out on the table, work through a budget." That means coming to some agreement on "yours, mine, ours." Couples often need to set spending limits.

"Those all come from being able to talk about money, which as a society we're not very good at," Bressington says.

Keeping all your money separate is probably the wrong approach, Bressington says, but she also doesn't think it's a good idea for a couple to just throw all their money together in one account and hope for the best.

The exact structure depends on the particular couple. But she recommends the following as a good way to organize your finances:
 1. Set up a joint account to cover the basic bills.
 2. Set up a plan with automatic contributions to a retirement account, college savings account and other long-term savings goals.
 3. Then, each partner in the couple should get a set amount of spending or "fun" money every month that's discretionary.
"If you decide [the fun money is], say, $250 a month, and that fits within your budget, and one person wants to blow his $250 and the other person wants to save her $250, then that's OK because you've set those ground rules," Bressington says.

She advises many couples to take out that spending money in cash — no credit cards.

Also, many experts say if you go to a financial adviser, pick one who works for a simple "fee only" (an actual, legally binding designation) — unlike many who make commissions steering you into pricey mutual funds.

You can listen to an audio and read the full post and comments at The NPR where there were already more than 850 by the time I was publishing this post. Below is #1 (when sorted by "Best" comments) with the highest up-vote.New studies reinforce the urgency of treating pregnant women with Malaria


[...] two studies and an editorial in this week's New England Journal of Medicine are reminders that malaria, a disease that killed about half a million people in 2015, also has profound consequences for pregnant women and their infants. The new studies provide much-needed guidance on how to prevent and treat malaria during pregnancy.

"Malaria during pregnancy is a major public health concern," says Dr. Joel Tarning, Head of Clinical Pharmacology at Mahidol Oxford Tropical Medicine Research Unit in Bangkok, Thailand, and author of the NEJM editorial "Treatment of Malaria in Pregnancy."

Recommended treatment for malaria is artemisinin combination therapy, or ACT, a mix of drugs shown to effectively treat the disease. But until now, the treatment has not been tested on women expecting babies.

"Pregnant women are often excluded from clinical trials, which hampers the implementation of these drug treatments," says Tarning.

If malaria is left untreated during pregnancy, infected red blood cells gather in the placenta and block the crucial exchange of nutrients from mother to fetus. The result can be miscarriage, stillbirth and low birth weight, says Tarning.

In sub-Saharan Africa, malaria during pregnancy is thought to be responsible for 20 percent of low birth weight babies each year, leading to 100,000 infant deaths, according to a recent NEJM study.

In Africa many people are immune from malaria and show no symptoms when infected, but pregnancy reduces a woman's immunity. Even when an infected woman has no symptoms, the disease can still harm the fetus, again resulting in low birth weight, miscarriage or stillbirth.

Despite a lack of clinical trial evidence on how to safely and effectively prevent and treat malaria during pregnancy, the consequences of no treatment are severe.

"Not treating pregnant women with malaria is not an option, since this is a life-threatening disease," says Tarning.

So the current WHO recommendations are that women living in areas where malaria is prevalent sleep under pesticide-treated nets; that women be given two doses of malaria prevention drugs during their pregnancy; and that women with malaria be treated during the second and third trimester.

Those WHO guidelines on treating malaria in pregnant women haven't changed, but now, with good evidence that they are safe and effective, health ministries can be more confident in carrying them out.

"I hope that these studies provide the needed evidence for countries to use ACTs in the treatment of pregnant women with malaria," says Tarning.

And they provide support for being treated earlier in pregnancy. Tarning pointed out a new study in The Lancet Infectious Diseases that treatment with ACTs is safe and effective during the first trimester. "It's time to reconsider first-trimester anti-malarial treatment recommendations," he says.

Just as important, he says, the studies show that in countries where many pregnant women are infected with malaria but show no symptoms because of built-up immunity, treatment with ACTs will benefit them and their unborn babies. "Hopefully, this will start the debate on using ACTs as preventive treatment in this group," he says.

Now there is clear guidance on how malaria drugs affect pregnant women. In another study, 3,428 pregnant women with malaria from Burkina Faso, Ghana, Malawi and Zambia were treated with four different anti-malaria drug combinations. Cure rates ranged from 95 percent to 99.2 percent, with few side effects. And the study on preventive treatment in 300 pregnant women with no malaria symptoms found that the drug combination of dihydroartemisinin-piperaquine, one of the combination drugs, prevented the disease and raised no safety concerns.

These studies on malaria's effect on pregnant women, a group previously not studied adequately in clinical trials, should go a long way in protecting mothers and babies from the harmful consequences of the disease.

UN vacancy announcement: Chief Human Resources OfficerVACANCY ANNOUNCEMENT

Posting Title: CHIEF HUMAN RESOURCES OFFICER
Job Code Title: CHIEF OF SECTION, HUMAN RESOURCES MANAGEMENT
Department/Office: ECONOMIC COMMISSION FOR AFRICA
Duty Station: ADDIS ABABA
Posting Period: 04 February 2016 - 03 April 2016
Job Opening Number: 55591
Staffing Exercise: N/A

Kilichotokea CRDB Mbagala leo karibu na benki iliyovamiwa mwezi uliopita

POLISI wamelazimika kufyatua mabomu ya machozi ili kuwatawanya watu waliojikusanya mbele ya Benki ya CRDB tawi la Mbagala - Rangi Tatu, baada ya mtu mmoja aliyekuwa akiongea na simu ndani ya benki hiyo kukaidi maagizo ya polisi ya kuacha kufanya hivyo mapema leo mchana wa Machi 11, 2016.

Kwa mujibu wa watu walioshuhudia tukio hilo, watu watatu mmoja akiongea na simu na wengine wawili waki-chat ndani ya benki hiyo, waliagizwa na mlinzi wa benki kuacha kufanya hivyo lakini wakakaidi.

Baada ya mlizni kuona hivyo alitoa taarifa kituocha polisi Mbagala - Maturubai, na hapo polisi wakiwa ndani ya gari lao maarufu kama defender, waliwasili kwenye eneo hilo na kuamuru watu hao ambao wanaelezwa kuwa wateja, kutoka ndani ya benki hiyo.

Hata hivyo palitokea mabishano baada ya mmoja wao kukaidi amri ya polisi na kuanza kupigana nao.
Kuona hivyo watu walianza kujaa na polisi bila kufanya ajizi wakafyatua mabomu ya machozi kutawanya watu na kuwadhibiti 'wateja' hao wabishi na hatimaye kufanikiwa kuondoka nao.

Hali hiyo ilizua tafrani huku watu wakidhani kuwa palikuwepo na tukio la ujambazi, kwani ni mwezi uliopita umbali wa meta chache kutoka kwenye benki hiyo, palitokea tukio baya ya uvamizi wa benkiya Access ambapo watu saba waliauawa, wakiwemo polisi.
 • Taarifa kwa mujibu wa Khalfan Said/K-VIS MEDIA

Muhtasari wa ziara ya Rais wa Vietnam nchini Tanzania, Machi 8 - 11, 2016


CCM: Wanaosababisha uchaguzi wa Meya Dar usifanyike ni Wakurugenzi wa Ilala na Kinondoni


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), George Simbachawene ametoa agizo kwa jiji la Dar es Salaam kufanya uchaguzi wa Meya wa jiji kabla ya tarehe 25 Machi 2016.

Waziri Simbachawene ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha baada ya kutokuwepo kwa tarehe mahususi ya kufanyika kwa uchaguzi huo.

Kuhusu watakaoshiriki uchaguzi huo, Waziri Simbachawene amesema mwenye jukumu la kutangaza madiwani na wabunge watakaoshiriki ni jukumu la vyama vinavyoshiriki uchaguzi huo.

Uchaguzi wa Umeya katika jiji la Dar es salaam umesitishwa mara kwa mara kutokana na zuio la mahakama na hizi karibuni ulishindikana pia kufanyika kwa zuio ambalo baadaye lilileta utata kuhusu lilikotoka baada ya mahakama kusema haikutoa zuio hilo.

Aidha kufuatia vurugu ambazo zilijitokeza katika uchaguzi huo baada ya kushindikana kufanyika wabunge wa CHADEMA, Halima Mdee jimbo la Kawe, Mwita Waitara wa jimbo la Ukonga, na Saed Kubenea wa Jimbo la Ubungo wamehojiwa na wengine kufunguliwa mashtaka kuhusiana na vurugu za uchaguzi huo.

Gazeti la MwanaHALISI Online limeandika...

Wamechanganyikiwa


DALILI zote za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuukosa Umeya wa Jiji la Dar es Salaama zimedhihiri na sasa wamechanganyikiwa.

Taarifa kutoka Ofisi ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam zinaeleza kwamba, CCM inaelekea kushindwa kupiga ‘bao la mkono’ kwenye uchaguzi wa Meya wa Jiji hilo kutokana na mazingira kukaa vibaya.

Leo Juma Gaddafi, Katibu wa Siasa na Uenezi wa Mkoa wa Dar es Salaam amekutana na baadhi ya waandishi katika Ofisi ya CCM Mkoa huo huku akionesha hofu ya chama hicho kushindwa kutetea nafasi hiyo.

Taarifa kutoka kwenye kikao hicho zinaeleza kwamba, CCM mpaka sasa imekata tamaa ya umeya kutokana na mazingira magumu yaliyotengenezwa na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

Si hivyo tu, katibu huyo ameonesha kuchukizwa na kile alichokieleza udhaifu wa Isaya Mngurumi, Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala na Mkurugenzi wa Manspaa ya Kinondoni kwa kushindwa kuhimili wajumbe wa Ukawa kwenye chaguzi za umeya wa wilaya hizo.

“Wakurugenzi hawakuwa majasiri katika kupamba na vitisho vya wajumbe wa Ukawa na kuwa wakweli. Walishindwa kutoa tafsiri sahihi ya wajumbe halali wanaotakiwa kupiga kura katika uchaguzi wa meya wa jiji,” amelalamika Gadafi.

Kwenye mkutano huo Gadafi amedai kwamba wakurugenzi hao walifanya upotoshaji wa tafsiri sahihi kuhusu uwepo wa wajumbe wa CCM walioonekana kutokuwa wajumbe halali.

“CCM imesikitishwa na upotoshaji uliofanywa na wakurugenzi hao hasa kwa kuwavua uhalali wa kupiga kura baadhi ya wajumbe wetu,” amesemea na kuongeza;

“Wakurugenzi wa Manispaa za Ilala na Kinondoni wamekula matapishi yao, haiwezekani uchaguzi wa awali wawakubali wabunge viti maalum kama wajumbe halafu uchaguzi wa jiji waseme hawastahili kupiga kura.”

Gaddafi amedai kwamba, Ukawa ndio walikuwa wa kwanza kuuvuruga uchaguzi huo kwa kuwa walitumia njia ya vitisho na kuwafanya wakurugenzi wafanye maamuzi kulingana na mashinikizo yao.

Amedai kwamba, licha ya CCM kuonekana kuwa chanzo cha kuvuruga uchaguzi huo lakini chama hicho hakina sababu hata moja ya kufanya hivyo isipokuwa ni utaratibu wanaoshinikiza ufuatwe na kuwa wana mgombea bora na anayekubalika.

“Wajumbe wa Ukawa ndiyo walianza kukiuka taratibu za upigaji kura kwa kupiga picha kura walizopiga na kumuonesha mmoja kati ya viongozi wao.

“Uchaguzi hupigwa kwa siri, iweje Ukawa wawalazimishe wajumbe wao kupiga picha kura walizopiga? Ina maana wanaogopa wajumbe wao wasije wakaipigia kura CCM,”amesema.

Jumla ya wajumbe wa mkutano wa kumchagua Meya wa Jiji ni 161. Kwa upande wa Kinondoni kuna wajumbe 58 ambapo CCM wapo 20 na ukawa 38.

Temeke jumla ya wajumbe 49, CCM wapo 31 na ukawa 18 na Ilala jumla ya wajumbe 54 huku CCM wakiwa 23 ukawa 31.

Kamanda Otieno aeleza DHL ilivyowezesha Polisi kukamata heroin 596g kutoka Turiani kuelekea Canada


Kamanda wa polisi wa viwanja vya ndege Martin Otieno ameiambia Mwananchi Digital kuwa madawa aina ya Heroin kiasi cha gramu 596 yalikuwa yakisafirishwa kutoka katika mji Turiani mkoani Morogoro kuelekea katika mji wa Ontario nchini Canada.

Mchongo wa kuchota fedha BoT ulivyozimwa na Rais

Rais Magufuli na Gavana Ndulu katika ofisi za BoT jana Machi 10, 2016
Rais Magufuli na Gavana Ndulu katika ofisi za BoT jana Machi 10, 2016

Gazeti la MTANZANIA linadai kuwa habari za uhakika ilizozipata jana jioni kutoka kwenye chanzo chake, zinasema fedha kiasi cha shilingi bilioni 925 alizoagiza Rais John Magufuli jana katika ziara yake ya ghafla katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), zilikuwa zimeelekezwa kulipa madeni mbalimbali ya taasisi za Serikali na binafsi.

“Malipo mengi yapo kwenye taasisi ambazo zinatoa huduma serikalini na cheki zao zimerundikana pale wizarani, jambo la kujiuliza kwanini wizara iidhinishe malipo wakati hayako kwenye bajeti.

“Hivi tujiulize wote kama tunaipenda nchi yetu, hivi kweli kwa mtindo huu mwananchi wa kawaida atapata huduma za kijamii,” kilisema chanzo chetu.

Chanzo hicho kilisema BoT na wizara wametakiwa kufuata waraka uliotolewa mwaka 2004 unaotoa mwongozo wa malipo.
Why do you let others make you feel guilty for living your life?

As long as you’re not hurting anyone else, keep living your life YOUR way.
Sometimes we get lost in trying to live for someone else, trying to meet their expectations, and doing things just to impress them. 

Take a moment and think about it. 

Are you doing things because you truly believe in them? 

Remember your own goals. 

Live, do and love so that you are happy, because when it comes down to it, relationships can end in an instant, but you will live with yourself for the rest of your life. 

From Angel Chernoff's message: "Ways You Are Making Your Life Harder Than It Has To Be"

Wakala wa Majengo aipa Yono Auction Mart mkataba wa kukusanya madeni

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) , Arch. Elius Mwakalinga (kushoto), akikabidhiana hati ya mkataba na Mwakilishi wa Kampuni ya Udalali ya Yono Auction Mart & Co. Ltd, Scollastica Kevela Dar es Salaam leo asubuhi
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) , Arch. Elius Mwakalinga (kushoto), akikabidhiana hati ya mkataba na Mwakilishi wa Kampuni ya Udalali ya Yono Auction Mart & Co. Ltd, Scollastica Kevela Dar es Salaam leo asubuhi

WAKALA wa Majengo Tanzania (TBA), umecharuka kwa kuingia mkataba na Kampuni ya Udalali ya Yono Auction Mart & Co. Ltd ili kusaidia kukusanya madeni ya wadaiwa sugu ambao walikopa nyumba.

Wakati huo huo mwakilishi wa kampuni hiyo ya udalali ya Yono Auction Mart & Co. Ltd, Scollastica Kevela ametoa siku tatu kwa wadaiwa wote wa TBA kuhakikisha wanalipa fedha hizo kabla ya kufikiwa na kampuni hiyo ambayo Jumatano ya Machi 16 mwaka huu itaanza rasmi kazi ya kuwaondoa katika nyumba za wakala huo watumishi wote wanaodaiwa kwa kufuata sheria kama inavyoelekeza.

Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo wakati wa kutiliana saini na kampuni hiyo ya udalali kwa ajili ya kukusanya fedha kutoka kwa wadeni wa wakala huo Mtendaji Mkuu wa TBA , Elius Mwakalinga alisema wamefia hatua hiyo baada ya kuona wadaiwa wao ambao wengi wao ni kutoka sekta za serikali kushindwa kulipa fedha hizo.

"Tumeingia mkataba na Kampuni ya Yono Auction Mart baada ya kushinda zabuni ambayo tulitangaza Februari 23,2016 na sasa kazi yote ya ukusanyaji wa fedha hizo itafanywa na kampuni hiyo" alisema Mwakalinga.

Mwakalinga alisema fedha nyingi za wakala huo zipo mikononi mwa wadaiwa wao ambapo kwa mkoa wa Dar es Salaam na Dodoma ni shilingi.Bilioni 6 na kwa waliokopa ni sh.milioni 800 huku fedha zinazodaiwa kwa ajili ya kutoa ushauri mbalimbali wa ujenzi ni sh.bilioni 6.95.

Mwakilishi wa kampuni ya Yono Auction Mart & Co. Ltd, Scollastica Kevela alisema wametoa siku tatu kwa wadaiwa wote kuhakikisha wanalipa fedha hizo vinginevyo watafikiwa na kampuni hiyo ambayo imepanga rasmi kupita kila nyumba inayodaiwa na kuwa kila muhusika atatakiwa kuilipa kampuni hiyo asilimia tano ya fedha anazodaiwa na TBA.


Taswira meza kuu katika mkutano huo.

 • Imeandaliwa na  Dotto Mwaibale/www.habarizajamii.com - simu namba 0712-727062

Wizara ya Afya inakaribisha maombi: Nafasi za mafunzo 2016/2017


Tanzania Government Call for Oil and Gas Professionals Credentials

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

MINISTRY OF ENERGY AND MINERALS

ANNOUNCEMENT

CALL FOR OIL AND GAS PROFESSIONALS CREDENTIALS

The discoveries of natural gas in the deep water and expansion of oil exploration activities has resulted to the shortfall in human capital supply in the country especially due to newness of the sub sector in the economy. The government through the Ministry of Energy and Minerals has decided to implement Capacity Building Marshal Plan (2012-2020) which entails affording Tanzanians training opportunity for Masters and PhD levels in the Oil and Gas fields.

Parallel to that, there is a need to ensure that professionals in Oil and Gas are utilized in the relevant fields for the development of the country. With these efforts, there is a need to develop Oil and Gas Professionals Data Base (OGPDB) to act as a tool for employment opportunities search.

In order to develop OGPDB, applications are invited from Oil and Gas qualified Tanzanians to submit the following information:-

(i) PhD, Master’s and Bachelor’s degree Certificates and corresponding academic transcripts;

(ii) Copies of Form IV and VI National Examination Certificates;

(iii) A detailed Curriculum Vitae (CV) with reliable contacts: postal address and telephone numbers;

(iv) One recent passport size photograph; and

(v) One copy of Birth Certificate.

Note: All copies of required certificates should be certified and in case of PhD and Msc certificates, they should be certicified by TCU.

MODE OF APPLICATION

Interested applicants should submit the required information in electronic form to [email protected].

Issued by:

Permanent Secretary
Ministry of Energy and Minerals
5 Samora Machel Avenuee
P. O. Box 2000,
11474 Dar es Salaam
E-Mail: [email protected]
Website: www.mem.go.tz

Closing Date: 15th April, 2016.

Uvumi wa ajira za walimu

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA


OFISI YA RAIS

TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

TAARIFA KWA UMMA

Kumekuwa na taarifa za upotoshaji zinasombazwa kwenye mitandao ya kijamii juu ya kutolewa kwa ajira mpya ya walimu kwa shule za sekondari na msingi kwa mwaka 2015/2016.

Taarifa hizo zinazosambazwa zinaeleza kwamba walimu wapatao 17,928 wa cheti (Daraja IIIA) , 5,416 wa Stashahada kwa sekondari na 12,677 kwa shule za mazoezi za vyuo vya ualimu Tanzania Bara wamepangwa kwa ajili ya kuanza kazi.

Katika taarifa hiyo inawataka walimu hao waliopangwa kuripoti kwa Wakurugenzi wa Halmashauri kwa ajili ya kupangiwa vituo vya kazi na kuanza kazi tarehe 01/04/2016.

Taarifa hizo pia zinaeleza kuwa walimu ambao hawataripoti ifikapo tarehe 10/04/2016 hawatapokelewa tena na watakuwa wamepoteza ajira zao.

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) inapenda kuchukua nafasi hii kukanusha taarifa hizo kuwa ni za upotoshaji. Wananchi wanapaswa kuzipuuzia kwani mpaka sasa bado Serikali haijatoa ajira za walimu kwa mwaka 2015/2016.

Ajira mpya za ualimu zitakapokuwa tayari zitatangazwa moja kwa moja kwenye vyombo vya habari na katika tovuti ya Ofisi ya Rais-TAMISEMI ambayo ni www.tamisemi.go.tz.

Imetolewa na :

Kitengo Cha Mawasiliano Serikalini
Ofisi ya Rais
Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
11/03/2016