[audio] U.S. President Obama explains his approach to ISIS

Pres. Barack Obama
Pres. Barack Obama
President of the United States of America, Barack Obama laid out how his administration is handling the Islamic State during a press conference in Argentina.

He said the U.S. is making gains in Iraq and Syria, but stopping attacks like those in Brussels is "difficult work."
...it's challenging to find, identify very small groups of people who are willing to die themselves and can walk into a crowd and detonate a bomb.
My charge to my team is: Find every strategy possible to successfully reduce the risk of such terrorist attacks even as we go after their beating heart in places like Iraq and Syria.
What we don't do and what we shouldn't do, is take approaches that are going to be counter productive.
Here is the audio from the NPR.org

Job: Chief of Party, Social and Behavior Change Communications (SBCC) project, Tanzania

Organization: Population Services International
Country: United Republic of Tanzania
Closing date: 22 Apr 2016

Job: Emergency Response Manager

Organization: Save the Children
Country: United Republic of Tanzania
Closing date: 07 Apr 2016

Tips from FBI on how to protect your PII


While all U.S. taxpayers are susceptible to Stolen Identity Refund Fraud (SIRF), over the past year, criminal actors have targeted specific portions of the population, including: temporary visa holders, the homeless, prisoners, the deceased, low-income individuals, children, senior citizens, and military personnel deployed overseas. This may be due to the perception by criminal actors that these individuals are less likely to be aware of or receive notification that their identity has been stolen.

The only legitimate information needed to file a fraudulent tax return is a name and social security number. This information is obtained by criminal actors through a variety of techniques, including computer intrusions, the online purchase of stolen Personally Identifiable Information (PII), the physical theft of data from individuals or third parties, the impersonation of government officials through both phishing and cold-calling techniques, the exploitation of PII obtained through one's place of employment, the theft of electronic medical records, and searching multiple publicly available Web sites and social media.

If you believe you are a victim of SIRF, contact your local FBI or IRS field office. You may consult www.identitytheft.gov which can help you report and recover from identity theft. Additional resources are available at https://www.irs.gov/Individuals/Identity-Protection.

Tips to protect yourself:

  • File tax returns as early as possible.
  • Monitor your bank account statements regularly, as well and as your credit report at least once a year for any fraudulent activity.
  • Report unauthorized transactions to your bank or credit card provider as soon as possible.
  • Be cautious of telephone calls or e-mails that require you to provide your personal information, especially your birth date or social security number. If you are in doubt, do not provide the requested information.
  • Do not open e-mail or attachments from unknown individuals. Additionally, do not click on links embedded in e-mails from unknown individuals.
  • Never provide personal information of any sort via e-mail. Be aware, many e-mails requesting your personal information appear to be legitimate.
  • If you use online tax services, ensure your bank account is accurately listed before and after you file your tax return.
  • Ensure sensitive information is permanently removed from online tax software accounts that are no longer being used. Allowing online accounts to become dormant can be risky and make you more susceptible to tax fraud schemes.
  • If you feel you are a victim, immediately contact the three major credit bureaus to place a fraud alert on your credit records.
  • If you are a victim, file an Identity Theft Affidavit (IRS Form 14039). This form is available for download from www.identitytheft.gov.
Info source: www.ic3.gov

Vikundi vya Kata za Kinondoni vilivyopata mikopo leo

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mh. Boniface Jacob akiwapa hundi wakazi wa Kata ya Mbezi Makabe
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mhe. Boniface Jacob leo amezindua rasmi ugawaji wa fedha za Mikopo ya Mfuko wa wanawake na vijana katika Kata 6, kati ya Kata 34 zinazotarajia kupata Tsh 200,000,000/= kila Kata ifikapo mwezi Julai, 2016.

Hadi sasa Manispaa ya Kinondoni imepeleka katika Benki ya wananchi ya Dar es Salaam, (DCB) Jumla ya Tsh 855,003,614017 kwa ajili ya mikopo ya wanawake na vijana ambapo ifikapo julai 2016 ambao ni mwisho wa Mwaka wa fedha 2015/2016 zitafikia zaidi ya Tsh 4.5 billion ambayo ni sawa na asilimia 10% ya mapato ya ndani ya Manispaa ya Kinondoni kwa mujibu ya magizo ya Bunge.

Benki ya wananchi wa Dar es salaam,Tawi la Magomeni imefungua vituo 36, vya kuratibu shughulii za Mikopo ya vikundi vya wanawake na vijana katika maeneo mablimbali ya Kata za Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni ili kuwarahisishia wananchi kupata huduma za mikopo hiyo kwa karibu.

Vikundi vilivyonufaika katika uzinduzi wa leo na kiasi cha fedha kilichotolewa:-

1. Stopover Tsh 8,750,000/= kwa ajili ya biashara ya sabuni za Maji na Miche

2. Makabe Tsh 5,250,000/= kwa ajili ya biashara ya utengenezaji wa sabuni na uuzaji wa Mkaa.

3. Mbezi Luis, Tsh 7,000,000/= kwa ajili ya Nursery School, Tigo pesa, Mpesa.

4. Kilungule Tsh 2,000,000/= kwa ajili ya Biashara ya Mitumba, genge na Saloon.

5. Kigogo Tsh 10,000,000/= kwa ajili ya biashara ya Mama lishe, Saloon ya Kike na Kiume.

Aidha Mstahiki Meya amewataka wanawake na Vijana kujitokeza kwa wingi ili wapatiwe mafunzo na kupewa Mikopo kwa fedha zilizopo Benki na zile zinazoendelea kupelekwa kwa lengo la kuwawezesha wanawake na vijana kupata mikopo kwa utaratibu wa kuwashirikisha viongozi na watendaji ngazi ya Mitaa na Kata.

Imetolewa na:-

MSTAHIKI MEYA
MANISPAA YA KINONDONI
23/03/2016.Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mh. Boniface Jacob akiwapa hundi wakazi wa Kata ya Mbezi Luis ikiwa ni fedha za Mikopo ya Mfuko wa wanawake na vijana katika Kata 6, kati ya Kata 34 zinazotarajia kupata Tsh 200,000,000/= kila Kata ifikapo julai, 2016.

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mhe. Boniface Jacob akiwapa hundi wakazi wa Kata ya Kimara Stop Over ikiwa ni fedha za Mikopo ya Mfuko wa wanawake na vijana katika Kata 6, kati ya Kata 34 zinazotarajia kupata Tsh 200,000,000/= kila Kata ifikapo julai, 2016.

Mhasibu ahukumiwa kifungo cha jela miaka 23

Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Arusha, Juventus Baitu, amesema Mhasibu huyo alihukumiwa Machi 18 mwaka huu, mbele ya hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya wilaya ya Ngorongoro, Dimitrio Nyakunga.

Amesema mtuhumiwa huyo alitiwa hatiani kwa makosa manne ya matumizi ya nyaraka kwa lengo la kumdanganya mwajiri, hivyo kila kosa alihukumiwa kifungo cha miaka minne na kosa la kuisababishia hasara serikali alihukumiwa kwenda jela miaka saba.

Baitu amesema mtuhumiwa alikuwa Mhasibu wa baraza hilo ambalo liko chini ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) na alifikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza na TAKUKURU Mkoa wa Arusha, kupitia wilaya ya Ngorongoro Juni 6 mwaka 2013.

Amesema shauri hilo lilifunguliwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Ngorongoro na kusajiliwa kwa ECC.Na. 4 ya mwaka 2013 mbele ya hakimu Mfawidhi wa Wilaya Dimitrio Nyakunga.

Amefafanua kuwa jumla ya makosa aliyoshitakiwa nayo ni matano, ambapo kati ya hayo manne yalihusiana na matumizi ya nyaraka zenye maelezo ya uongo kwa lengo la kumdanganya mwajiri kinyume na kifungu cha 22 cha sheria yakuzuia na Kupambana na Rushwa Na. 11 ya mwaka 2007.

Baitu amesema kosa la tano lilihusiana na kuisababishia hasara serikali kinyume na aya ya 10(i) kifungu cha 57 (1) na 62 (2) cha sheria ya Uhujumu uchumi kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2002.

Amesema mtuhumiwa akiwa kazini alitayarisha nyaraka za uongo akiwa mhasibu wa baraza hilo kwa kuandaa orodha ya majina ya wanafunzi wanaodhaminiwa na Baraza la Wafugaji na kuwalipa ada na posho za kujikimu, wakati ni hewa.

Baitu amewaasa watumishi wa umma na wananchi kutojihusisha na vitendo vya rushwa na wananchi wakatae vitendo vya rushwa.

Kijana msomi, J. Kayonge aeleza wanavyofanikiwa katika kilimo cha vitunguuVIJANA wasomi wanaounda Taasisi ya Maendeleo ya Vijana Tanzania (TAYODA) wameeleza mafanikio wanayopata baada ya kuamua kujikita katika kilimo cha vitunguu tangu mwaka 2013, muda mfupi baada ya kumaliza elimu yao ya vyuo vikuu.

Vijana hao wanaomiliki shamba lenye ukubwa wa heka 300 katika kijiji cha Idodoma wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma, wamewataka vijana wanaolalamika kukosa ajira, kuunga mkono kauli ya hivikaribuni ya Rais Dk John Magufuli inayowataka wafanye kazi badala ya kucheza pool toka asubuhi.

Akizungumza na wanahabari waliotembelea shamba lao hilo hivikaribuni, Mkurugenzi wa TAYODA, Jackson Kangoye alisema; “taasisi imefanikiwa kukuza mitaji ya vijana walioko mitaani kwa kupitia sekta hii ya kilimo.”

Alisema mwaka 2013 walipoanza na vijana 25 walifanikiwa kulima zao hilo katika shamba lenye ukubwa wa heka 30, wakaendelea kupata mafanikio yaliyowazesha kupata shamba lenye ukubwa wa heka 300 huku idadi ya vijana wanaojishughulisha na kilimo hicho ikiongezeka hadi 230 mwaka huu.

“Lengo letu katika kipindi cha miaka mitatu ni kuwaingiza katika shughuli hii vijana 2500 walioko mitaani bila kujali viwango vya elimu,” alisema.

Kangoye alisema wakiwa shambani vijana hao ugawanywa katika makundi ya watu watano ambapo kila kundi hupewa heka tano kwa msimu mmoja na kuzitumia kupata mitaji.

“Tangu tuanze kilimo hiki uzoefu wetu unaonesha kwa kila heka moja, tunazalisha kati ya gunia 80 na 120 za zao hilo ambalo uuzwa kwa kati ya Sh 120,000 na Sh 170,000 ambazo ni sawa na wastani wa Sh Milioni 10 na Sh Milioni 20 kwa heka,” alisema.

Alisema kiasi kinachobaki baada ya kutoa asilimia 25 ya pato lote linalokwenda katika taasisi hiyo kwa ajili ya kusaidia vijana wengine na gharama zote za matumizi, hutolewa kwa vijana hao kama mtaji wanaoweza kuutumia kujiendeleza katika kilimo hicho katika mashamba yao wenyewe.

Kangoye alisema zaidi ya vijana 120 wamekwishanufaika kiuchumi kupitia mpango huo kwa kuanzisha miradi yao ya kilimo cha vitunguu, pilipili, tikiti na nyanya.

Mmoja wa vijana aliyenufaika na mpango huo, Kassara Mageni alisema; “baada ya kumaliza Chuo Kikuu cha Dodoma mwaka 2012, sikutaka kubweteka kusubiri kuajiriwa. Nimehamia shamba, nalima na ninawasimamia vijana wenzangu kupitia taasisi hii ya TAYODA kujiletea maendeleo.”

Mbali na kujipatia mapato makubwa kutoka katika mashamba anayolima, alisema mpango wake ni kuhamishia maisha yake moja kwa moja katika kijiji hicho.

“Wasomi wengi tuna ndoto ya kupata mafanikio ya haraka tena kupitia kazi za kuajiriwa, bahati mbaya wengi wetu tunachelewa kufikia ndoto hiyo, niwajulishe wasomi wenzangu maisha yako huku, sekta ya kilimo ina fursa kubwa inayoweza kubadili maisha yetu vijijini na mijini,” alisema.

Kwa upande wake kijana mwingine, Gapi Yohana alisema kwa miaka miwili ambayo amefanya kazi na taasisi hiyo ameweza kuongeza ukubwa wa shamba lake kutoka heka moja hadi tano pamoja na kujiimarisha kiuchumi ikiwa ni pamoja na kununua pikipiki pamoja na kiwanja anachotarajia kukitumia kujenga nyumba yake ya kisasa.

Imenukuliwa kutoka kwenye blogu ya Frank Leonard

Ufafanuzi wa mapato na matumizi ya serikali Machi 2016

Waziri wa Fedha na Mipango, Philip Mpango akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa mikutano wa Wwizara ya Fedha jijini Dar es Salaam leo

UFAFANUZI WA MAPATO NA MATUMIZI YA SERIKALI KWA MWEZI MACHI, 2016


A: MAPATO 

(i) Mapato ya kodi (TRA) shilingi 1,283,274,000,000.

(ii) Mapato yasiyo ya kodi shilingi 77,504,000,000.

(iii) Mapato yatokanayo na vyanzo vya Halmashauri shilingi 43,490,000,000.

Jumla shilingi 1,404,268,000,000.

(iv) Tunatarajia pia kupata mikopo na misaada ya mifuko ya Basket na miradi ya maendeleo kutoka kwa washirika wa maendeleo shilingi 71,200,000,000.

B: MATUMIZI

1. Mishahara

(a) Watumishi wa Serikali Kuu na Serikali za Mitaa shilingi 484,057,177,680 ikijumuisha malimbikizo ya shilingi 9,479,389,384 na hasa kwa walimu katika Halmashauri 154.

(b)Watumishi wa Taasisi na Wakala za Serikali shilingi 97,985,822,320 ikijumuisha malimbikizo ya shilingi 518,822,320 kwa Taasisi na Wakala 24 na hasa sehemu kubwa Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Jumla ya mishahara ni shilingi 582,043,000,000.

2. Posho ya chakula kwa ajili ya vyombo vya ulinzi na usalama shilingi 43,556,500,000.

3. Ruzuku ya Vyama vya Siasa shilingi 1,433,583,000.

4. Posho ya Madaktari wanafunzi 1608 shilingi 1,721,000,000.

5. Wizara ya Afya Ununuzi wa madawa na vifaa tiba shilingi 2,597,961,000.

6. Mikopo ya wanafunzi wa Elimu ya Juu kwa semista ya tatu shilingi 57,040,000,000.

7. Kutekeleza mpango wa Elimu bure shilingi 18,777,000,000.

8. Mapato ya ndani kwa Halmashauri kwa ajili ya miradi na uendeshaji wa ofisi shilingi 43,490,000,000.

9. Madeni ya watumishi wasio walimu katika Halmashauri shilingi 3,618,900,612.

10. Miradi ya umeme shilingi 73,252,000,000.
- Wakala wa Umeme Vijijini shilingi 24,020,000,000.
- Mradi wa Umeme Kinyerezi I shilingi 43,800,000,000.
- Mradi wa kufua umeme makambako – Songea shilingi 5,482,000,000

11. Malimbikizo ya madeni ya Makandarasi wa barabara shilingi 166,905,919,730.

12. Miradi ya Maji shilingi 10,951,000,000.

13. Mfuko wa Reli shilingi 2,651,000,000.

14. Fidia kwa wananchi kupisha mradi wa Kurasini Trade and Logistic Hub shilingi 3,048,904,930.

15. Mradi wa Ununuzi wa dawa na vifaa Tiba (ORIO) shilingi 2,106,657,644.

16. Mfuko wa kuchochea maendeleo ya jimbo shilingi 5,124,997,500.

Job: Chief of Party - Creative Associates International

Organization: Creative Associates International
Country: United Republic of Tanzania
Closing date: 22 Apr 2016

U.N. sued over cholera epidemic in Haiti

[...] argument is being sharply challenged by some of the U.N.'s own staff – a group of five "special rapporteurs" who are appointed to act as internal watchdogs.

In a letter to U.N. Secretary General Ban Ki-moon presented on March 15 to the U.N. Human Rights Council, the rapporteurs rejected the argument that compensating Haitian cholera victims would be "opening the floodgates to claims against the United Nations." This is believed to be the first time the U.N.'s human rights watchdogs have criticized the agency itself, rather than member nations.

The rapporteurs also criticized the U.N.'s efforts to control cholera through clean water and sanitation as "clearly insufficient." So far the U.N. has spent about $140 million on cholera control in Haiti — only 6 percent of the $2.2 billion the agency says will be needed to eliminate cholera there.

In unusually blunt language, the rapporteurs told Ban that the U.N.'s denial of "an effective remedy" for cholera "challenges the credibility of the Organization as an entity that respects human rights."

Tractor Training and Research Program Launch at SUA

Sokoine University of Agriculture (SUA) in partnership with John Deere and Innovative Agricultural Research Initiative (iAGRI) are jointly organizing the launch of a new tractor training program for farmers and tractor operators. The launch will be hosted by SUA and will be held at the Department of Engineering Sciences and Technology on 1st April 2016 starting at 10 AM.

The tractor training program will consist of three short courses: (1) tractor operations, (2) tractor mechanics, and (3) tractor-hire business management. This is part of iAGRI’s partnership with SUA to transform the university to be a pro-active provider of training, research, and outreach services of direct, practical relevance to farmers and agribusinesses. We have arranged for John Deere to donate a fully equipped tractor to SUA’s Department of Engineering Sciences and Technology, which in turn, is launching this tractor training program for farmers and tractor operators. About 300 participants consisting of farmers, private sector companies, extension workers, students, faculty, input dealers, traders and dignitaries are expected to attend the launch.

This is an important event in linking Tanzania’s major agricultural university, Sokoine University of Agriculture, and the private sector. This Public-Private Partnership is intended to strengthen the involvement of the private sector in higher education. Following the launch from 4th – 9th April, the first Boot Camp training sessions will be held at SUA for selected farmers, private sector companies, and input dealers.

Mahojiano na Maalim Seif siku mbili baada ya uchaguzi wa marudio Zanzibar

Maalim Seif Shariff Hamad (kulia) akihojiwa na Josephat Isango mwandishi wa habari hii
SIKU mbili tangu kufanyika kwa uchaguzi wa marudio Zanzibar, na siku moja kabla ya kuapishwa Dk Ali Mohamed Shein, Maalim Seif Shariff Hamad, Mgombea wa Urais wa Zanzibar katika uchaguzi wa Oktoba 25 mwaka jana kupitia Chama cha Wananchi (CUF), amesema CUF haitashiriki uchaguzi wowote chini ya Tume ya Jecha Salim Jecha, anaandika Josephat Isango wa MwanaHALISI Online.

Akizungumza na MwanaHALISI Online Hoteli ya Serena ambapo yupo kwa mapumziko baada ya kulazwa, Maalim Seif amesema kuwa kama yatatokea maridhiano yatakaoongozwa na kusimamiwa na taasisi huru za kidemokrasia, bila vitisho vya majeshi na polisi, kuwa na vyombo huru vya habari na tume huru sio hii iliyopo Zanzibar chini ya Jecha, hapo CUF kitaweza kufikiri kushiriki uchaguzi.

Ameongeza kuwa harakati za kudai haki, zitaendelea kwa njia ya amani ili marekebisho ya tume yafanyike kwani kwa utaratibu uliopo hata mwaka 2020 upinzani ukishinda Tanzania bara, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitang’gang’ania madaraka.

“CUF tunaamini katika amani, tusichafue amani, tusichafue nchi yetu, tuendeleze mapambano kwa kutoitambua serikali iliyojiweka madarakani katika uchaguzi haramu wa Machi 20 mwaka huu, wala hatutaipatia ushirikiano wowote katika mambo yote” alisema.

Uchaguzi wa 20 Machi, sio halali. Jecha hakuwa na uwezo wa kisheria wala kikatiba kufuta uchaguzi, mgogoro uliopo sasa umesababishwa na Jecha, ukapewa baraka za CCM, sababu CCM hawataki kushindwa, na hawataki wapinzani kuongoza. Kila CCM ikishindwa hutoa visingizio.

“Kabla Kikwete (Rais Mstaafu Jakaya Kikwete) hajaondoka madarakani, aliniambia kuwa Maalim CCM wanakuogopa, wanajua ukishinda utaweza kuvunja Muungano, lakini nilimwambia, CCM ndio wenye jeshi, wenyewe ndio wenye dola mimi nitavunjaje Muungano? Hiyo ni hofu na visingizio tu ili waendelee kukwapua madaraka.”Alisema.

Ameweka bayana kuwa kwa sasa CCM imewarejesha wananchi miaka 20 iliyopita, kwani uhasama wa watu kutengana kwenye shughuli za kijamii kwa sababu za tofauti za kisiasa zimeanza kurejea baada ya CCM kulazimisha kukwapua madaraka ya wananchi kwa kufuta uchaguzi wa 25 Oktoba mwaka jana.

Akizungumzia suala la Muungano kama ambavyo amekuwa akihusishwa Maalim seif amesema kuwa sasa Muungano utavunjwa na CCM, sio CUF wala yeye kama wanavyosingizia.

Ameongeza kuwa kwa sababu CCM ya bara ndio inalazimisha kuweka viongozi waliokataliwa na wananchi wa Zanzibar na chama chao kwa kutumia majeshi na polisi wao ndio husababisha wananchi wachukie Muungano.

Aidha kuhusu uchaguzi wa marudio wa Machi 20, Seif amesema kuwa CUF imeshinda, kwani wananchi wa Zanzibar waliitikia wito wa CUF, wakasusa, hawakujitokeza kupiga kura. Hizo zilizotangazwa na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) wanajua walipozipata wao na CCM.

“Mimi nilishasema tangu awali, kuwa matokeo yameshajulikana kabla ya uchaguzi, sababu ni ya kupika, namhurumia Dk Shein kwa kujisifu kupata kura ambazo hazipo, mawakala waliweka wao na wasimamizi na kuna taarifa kuwa wapigakura walikuwa wanapewa rundo la kura, wapige na kutumbukiza ili kukidhi matakwa ya CCM.” Amesema Maalim Seif.

Maalim Seif amewatakia utulivu Wazanzibar wote, na kuwaarifu kuwa afya yake ni imara, na atarejea Zanzibar wakati wowote kuungana nao.

Suspected Al-shabaab Militants Killed in Arusha

Alexander Sehmer

Tanzanian police killed three suspected militants on February 28 in a shootout in the northern town of Arusha. Police in the Engosheraton area of Sinoni Ward appear to have been alerted to “suspicious persons” in the area by local residents, and a firefight broke out when they visited the house where the three were meeting (Tanzania Daily News, March 1). A woman, thought to be the wife of one of those killed, was arrested following the raid.

Initial reports described the men only as criminals, but latter the authorities announced they had found flags emblazoned with Arabic inscriptions – possibly those of Somali group al-Shabaab – at the scene (Arusha Times, Issue 0896). Police also reportedly recovered an AK-47 rifle with 18 rounds of ammunition, a motorcycle, five army uniforms, face masks, a selection of mobile phones, and a karate outfit (Daily Nation, March 2).

Compared to its East African neighbors, Tanzania has seen relatively little militant activity over the years. In April of 2015, police arrested 10 people in a raid on a mosque in Kilombelo District in Morogoro Region in the southwest, recovering explosives and an al-Shabaab flag (The Citizen, April 16, 2015). A spate of grenade attacks in 2014 that struck bars and restaurants in Arusha supposedly ended with an October 2014 police shooting dead the alleged “mastermind,” Yahya Hassan Omari Hela (who was, incidentally, alleged to be a karate trainer) (The Citizen, October 21, 2014). Meanwhile the UN’s Monitoring Group on Somalia and Eritrea has linked Tanzania’s Ansar Muslim Youth Centre with al-Qaeda’s East African affiliates (UN, S/2013/413) and suggested similar ties for the Boko Haram-linked Association for Islamic Mobilization and Propagation (Uamsho), led by Farid Hadi Ahmed, on the island of Zanzibar.

There is discontent among the Muslim-majority island, but the current simmering unrest is largely connected to last October’s annulled elections. The elections have been rescheduled for later this month despite the demands of the opposition Civic United Front (CUF), which claimed it was on the path to victory. Zanzibar has seen several attacks, notably small grenade attacks on the island of Unguja (ETN, February 26, 2014) and an acid attack in 2013 on two British teenagers working as volunteer teachers (BBC, August 8, 2013), for which Uamsho members were later arrested.

These incidents indicate the potential for extremist activity, but the Tanzanian authorities maintain a relatively effective street-level intelligence network. The fact Tanzania has refrained from contributing troops to the African Union Mission in Somalia (AMISOM) has likely served to insulate it somewhat from al-Shabaab, although Kenyan authorities recently arrested two Tanzanian militants during an operation against the group in the Boni forest (Daily Nation, October 23).

One Health MSc and MPH One Health research fellowships to postgraduate students


ONE HEALTH RESEARCH FELLOWSHIP OPPORTUNITIES FOR POST-GRADUATE STUDENTS

CALL FOR APPLICATIONS

BACKGROUND


The One Health Workforce Project (OHW) was conceived in November 2014 by One Health Central and Eastern Africa (OHCEA) with the aim of strengthening capacity among pre-service and in-service personnel to prevent, detect and respond to infectious disease threats. The focus of the current project implemented in One Health Central and Eastern Africa (OHCEA) institutions is on strengthening the training and educational programs using a trans-disciplinary One Health Approaches. Universities are key pillars in effecting change that can increase capacity in future One Health Workforce (OHW) and forge partnerships with governments and communities to support decision-making through action research, analytic tools, and service work.

Call for Applications

We are delighted to announce a call for applications during 2016 – 2017 academic year for 26 MSc and MPH One Health research fellowships to postgraduate students who are already enrolled in graduate programs at SUA, MUHAS and in universities and are planning to engage in research for their dissertations from June 2016. Of the 26 scholarships to be awarded, 17 will be allocated to Sokoine University of Agriculture (SUA) while nine (9) to Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS). Under this scholarship scheme, selected students will be supported to carry out One Health (OH) related research, with a bias towards disease detection, prevention and outbreak response or relevant to global health security agenda. Applicants will be encouraged to conduct research in KilosaOne Health demonstration site (KDS) or any of the PREDICT existing sites. 

Eligibility

i. MSc or MPH students currently pursuing course work in disciplines addressing One Health Approach.

ii. Highly motivated individuals to develop a scientific career and capability to practice using One  Health Approaches as demonstrated in OH related courses undertaken.

iii. Interested in undertaking research relevant to One Health and Eco-health Approaches.

iv. Full time availability to engage in research from June 2016 resulting in a dissertation in the proposed research area. The research should preferably be completed by November 2016.

v. Willingness to work in a team and a strong ambition to accomplish the research goals of OHCEA OHW project.

vi. Good academic track records /transcripts.

vii. Excellent communication skills.

viii. Good command of spoken and written English.

Focus areas Research topics must be One Health related and would include but not limited to the following regional research priorities:

i. Infectious disease investigation, prevention, early detection and outbreak response

ii. Emerging diseases (trans-boundary diseases, early detection)

iii. Emerging health challenges (Anti microbial resistance and non-diseases)

iv. Food safety and nutrition

v. Climate change/ disaster preparedness

vi. Health Policy that addresses the One Health agenda

vii. Health financing

viii. Occupational health and safety

ix. Endemic Diseases and early detection

x. Gender and infectious diseases

Responsibilities and Financial matters

This fellowship comes with a ceiling of equivalent of US$ 5,000 per applicant to cover research costs only.

These costs may include transport, field work expenses, laboratory work, stationery, report writing and dissemination. The progress of the fellows’ work will be evaluated jointly with their supervisors after every three (3) months or as will be deemed necessary by the Supervisors and/ or the Project
Coordinators. It is expected that each of the fellows will publish at least one paper relevant to One Health or Eco-Health from his/her research work in International peer reviewed journals.

How to apply

Potential candidates are hereby invited to submit an application letter, curriculum vitae, academic transcripts and certificates, 2 names of academic referees with at least one of them being the immediate work supervisors, and a two page concept note for the proposed research. The concept note should contain an outline of the rationale for the proposed study, objectives, methodological approach and expected output. Application dossiers both in hard and soft copy MUST reach the Deans and focal persons in the respective Institutions by 10th April 2016. Successful applicants will be notified by 30th April 2016 after which they will be invited to develop full-fledged proposals and accompanying budgets that can lead them to carry our research and write dissertation in line with guidelines in respective Universities.

Female candidates are highly encouraged to apply. The positions are only available to applicants from Tanzania currently pursuing postgraduate studies at either SUA or MUHAS.

Applications should be submitted to the Deans and focal persons in respective institutions whose contact details are shown below:

1. The Dean, Faculty of Veterinary Medicine; E-mail: [email protected] for 17 positions available at Sokoine University of Agriculture (SUA), Faculty of Veterinary Medicine (FVM). The application documents should be copied to Prof. Robinson Mdegela; E-mail: [email protected]

2. The Dean, School of Public Health and Social Sciences; E-mail: [email protected] for 9 positions available at Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS),. The application documents should be copied to Prof. Japhet Killewo; E-mail: [email protected]

Further Contacts
More information on the project details can be obtained from:

1. Professor Robinson Mdegela
OHCEA University Focal Person
Department of Veterinary Medicine and Public Health
Faculty of Veterinary Medicine
Sokoine University of Agriculture
P. O. Box 3021, Morogoro, Tanzania
Tel: +255 754 371 628
Email: [email protected]

2. Professor Japhet Killewo
OHCEA University Focal Person
School of Public Health and Social Sciences
Department of Epidemiology and Biostatistics
Muhimbili University of Health and Allied Sciences
P. O. Box 65015 Dar es Salaam, Tanzania, Tel: 0754 853257
Email: [email protected]