Clean unwanted photos from your WhatsApp with this Magic Cleaner

I cleaned up my WhatsApp photos using this Magic Cleaner available at Google Play. Give it a try, you will love it!

Crutches redesigned

Mobility Designed has designed a crutch, removing the traditional load-bearing areas for crutches from the pressure in underarms and forearms, shifting support to the elbows.

The shift to elbow support and moveable handles on the M+D Crutch allows users to use their hands without dropping the crutches. 

It also has improved shock absorbers on its interchangeable feet, and straps to keep your elbows in place. 

The company says production of the new crutch will begin soon.


Taarifa ya habari ChannelTEN, Mei 3, 2016Zuhura Yunus afika Leicester kupata uhalisia baada ya ushindi wa ligi kuu ya soka UingerezaTips from Contractors on How to Avoid the Biggest Remodeling Mistakes


Nasaha Islam: Jinsi ya kukoga


  • Kwanini Wakati Mwingine Ngozi ya Mwili hwasha Baada ya Kukoga?
  • Kwanini tunakoga na sababu zinazotufanya tukoge
  • Kwanini unapomaliza kugoka baadhi ya watu uwashwa mwili na kusabaisha kujikuna?
Wengi ufikiria kuwa kukoga ni hali ya kujimwagia tu maji kisha basi, huyoo unajfuta maji na kuendelea na hamsini zako. Hapana, kukoga kuna hatua zake ambazo ukizifuata utajikuta unatakata na kuburudisha mwili wako na kuifanya ngozi yako kuwa yenye afya tele. Faida hii utaipata pale utakapozingatia mambo ambao unaweza kuyaona kuwa hayana msingi au ni mambo madogomadogo.

Kwa ufupi kukoga ni kuosha viungo vyote vya mwili, kuanzia kichwani mpaka nyayoni.

Kwanza kabisa ni vema uwe umetayarisha baadhi ya vitu muhimu, kama vile sabuni ya kukogea, mafuta ya zeituni (olive oil) kama huna unaweza kutumia mafuta ya nazi yasio na harufu kali au mafuta yoyote yale kama vile baby oil, maji aidha ya vuguvugu au yaliopoa yasiwe ya baridi kiasi ya kushindwa kuyaoga, kitu ingine unaweza kutumia dodoki au spongi na jiwe la kusugulia miguu (si lazima).

Epuka sana kutumia sabani za manukato zenye harufu kali mara kwa mara kwa sababu wataalamu wa afya ya ngozi wanabainisha kuwa kuoga muda mrefu na mara kwa mara, matumizi ya sabuni zenye harufu kali na povu jingi kunachangia kutokea kwa mzio (allergy) pamoja na ukavu wa ngozi kutokana na uwezo wake wa kuondosha kiasi kikubwa cha mafuta yanayolinda ngozi. Ili kupunguza hali ya muwasho, “Tumia sabuni zenye mafuta, lakini zisiwe na marashi makali.

Unapoanza kukoga kwanza kabisa hakikisha unajimwagia maji ili sehemu zote za mwili wako hakikisha maji yanafika kila kona ya mwili.

Hakikisha maji yanaingia katika nywele kwa kugusa ngozi ya kichwa na haswa kina dada ambao wanavaa nywele za bandia au waliosuka kwa kutumia viongezeo vya nywele. Hakikisha maji yanafika chini ya kwapa, masikioni, pembeni mwa sehemu za siri, katika vidole vya mguu na sehemu zozote nyingine za mwili zilizokuwa wepesi kusugua.

Kisha jipake sabuni yako mwili mzima, ukianzia kichwani na nyuma ya masikio, mikononi na kwenye makwapa, pia jitahidi kupaka sabuni nyuma ya mgongo, sehemu za siri na kushuka mpaka miguuni na kwenye nyayo.

Kisha chukua dodoki laki na kujisugua polepole kuanzia shingoni na kifuani, kutelemka mikononi na chini ya makwapa, kwenye tumbo na mgongoni kisha kuelekea chini kwenye viungo vya siri (Usitumie nguvu sana). Baada ya hapo unasugua miguu yako na kwenye nyayo unaweza kutumia jiwe la kusugulia kama huna basi waweza kutumia dodoki lako.

Baada ya kuhakikisha kuwa umejisugua vizuri, utajimwagia maji mwili mzima, hakikisha povu lote la sababu linaondoka mwilini, baada ya povu kuondoka mwilini kama unatumia bomba la kuogea unaweza kujisafisha na kujisugua taratibu kwa kutumia viganja vya mikono ili kuondoa mabaki ya ngozi laini (dead skin).

Ukisha maliza na kuhakikisha umetakata, kabla ya kujipangusa maji, jipake mafuta yako uliyoyatayarisha, hakikisha unajipaka mwili mzima, jipake mengi tu. Baada ya hapo unaweza kujimwagia tena maji uku ukijisugua taratibu kwa kuyasambaza yale mafuta ulojipaka.

Kisha unaweza kutoka na kujifuta kwa taulo kwa namna ya kukausha maji na si kwa kujisugua kiasi ya taulo kuondoka na mabaka mabaka. (Mabaka au weusi unao uona kwenye taulo si uchavu, bali ni ngozi mfu (dead skin) ambao kwa binadamu ni kitu cha kawaida na ipo kila siku.

Baada ya hapo ndio unaweza kujipaka mafuta yako kwa nchi za baridi unaweza kujipaka mafuta mazito na kwa nchi za joto ukiwa na lotion za mwili si vibaya kutumia.

KUWASHWA BAADA YA KUOGA

Zaidi ya kukogea sabuni zenye manukato makali kiasi ya kusababisha mwili kuwasha, tatizo jingine linalochangia mwili kuwasha wakati wa kuoga ni kutokutumia kiasi cha kutosha cha maji ya kunywa kila siku.

Hali hiyo inafanya mwili kuwa na upungufu wa maji na kuathiri vibaya afya ya ngozi na uwezo wake wa kuondosha sumu mwilini.

Ngozi isiyokuwa na afya njema inashindwa kutunza kiasi cha kutosha cha unyevu na kusababisha ukavu. Ngozi inapokuwa kavu husisimka kupita kiasi wakati wa kuoga na kusababisha muwasho.

Sababu ya mwili kuwasha baada ya kuoga ni kuishi katika hali ya msongo wa mawazo inayosababishwa na hofu, wasiwasi na sononi.

Tatizo jingine linalosisimua mwili na kusababisha muwasho wakati wa kuoga ni kujisugua kupita kiasi au kujisugua wakati wa kujifuta kwa taulo baada ya kuoga.

Kwa kawaida seli za ngozi zilizokufa, jasho na vumbi ndivyo vinasababisha mwili kuchafuka. Lakini uchafu huo huondoka mwilini tunapooga na nguvu nyingi hazihitajiki ili kuondosha uchafu na taka mwili juu ya ngozi. Matumizi ya nguvu nyingi na kusugua ngozi sana, husababisha madhara kwenye ngozi na kusababisha muwasho au ukavu wa ngozi kwa kuondosha mafuta yanayolinda usalama wa ngozi.

Watu wenye tatizo hili wanaweza kufanya mazoezi mepesi kabla ya kuoga ili kupasha mwili joto au kupaka lotion ili kuifanya ngozi kuwa na unyevu na kupunguza hali ya ukavu wa ngozi.

Baadhi ya tafiti zinabainisha kuwa sababu nyingine ni pamoja na uchafuzi wa mazingira ya hewa kwa kemikali zenye sumu zinazopatikana katika moshi wa tumbaku, mifuko ya plastiki, dawa za kufanyia usafi majumbani, dawa za kuua wadudu, vumbi ya ndani ya nyumba yanayobeba vimelea vya magonjwa pamoja na uchafuzi wa hewa kwa moshi wa magari na ule unaozalishwa na viwanda katika maeneo ya mijini. Vitu hivi huufanya mwili kuathirika na kutengeneza mazingira ya ndani ambayo yanachochea kutokea kwa muwasho pindi mwili unapopata msisimuko, hali ambayo hujulikana kama mzio.

Kama hali ya kuwasha kwa mwili baada ya kuoga itaendelea basi unashauriwa kumuona daktari wa magonjwa ya ngozi kwa ushauri zaidi.

Ni matumain yangu utakuwa umefaidika na maelezo haya.
  • Imeandikwa na Nasaha Islam

Delta Air Lines joining airlines in RFID baggage tracking technology


Lost bags may be a thing of the past for passengers flying on Delta later this year. 

Delta Airlines will soon become the first U.S. airline to use the baggage tracking technology called Radio Frequency Identification on all baggage.

According to Mashable, the company anticipates the airline will be using RFID luggage tags at 344 airports by the end of August, 2016.

Scanners on Delta's conveyor belts can scan the RFID tags attached to your bag and reroute them if they've been sent in the wrong direction, a vast improvement on barcode hand scanning, which has been the industry standard since the '90s. 

Although Delta will be the first airline to incorporate RFID tags on a wide scale, isn't the first to embrace the technology. Qantas has been implementing optional RFID tags since 2011 as well as Lufthansa, which partnered with the German luggage manufacturer Rimowa to support its luggage with built-in RFID tags. 

There's no extra work for passengers.

The new RFID tags look identical to the current luggage tags, but with the added benefit of improving Delta's luggage accuracy rate from 95 percent to an expected 99.9 percent.

Tasisi ya misaada ya kijamii ya Hamisi Kigwangalla kumsomesha Getrude Clement


Mwanzilishi wa Taasisi ya Misaada ya Kijamii ya Hamisi Kigwangalla, Naibu Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla akiwa katika picha moja na Getrude Clement ambaye atalipiwa ada ya kidato cha tano na cha sita.
Kwa kutambua umuhimu wa elimu kwa kizazi cha miaka ijayo, Taasisi ya Misaada ya Kijamii ya Hamisi Kigwangalla iliyoanzishwa na Naibu Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla imejitolea kumlipia ada Getrude Clement kwa masomo yake ya kidato cha tano na sita.

Uamuzi huo wa kumsomesha Getrude umekuja baada ya leo kukaribishwa kuongea kwenye kikao cha wabunge watetezi wa haki za watoto ambapo Getrude alipata nafasi ya kutoa historia yakee ambayo iliwatoa baadhi ya wabunge machozi.

Getrude aliwaeleza wabunge historia yake na hali yake ya kimaisha na kusema kuwa baba yake ni kinyozi na mama yake anafanya biashara ndogo ndogo za nyanya na vitunguu lakini bado amekuwa akijtuma katika masomo yake ambapo kwa sasa yupo kidato cha tatu katika shule ya Sekondari Mnarani, Mwanza.

Baada ya kusema hivyo, ndipo Dkt. Kigwangalla aliamua kujitoa kumsaidia mtoto huyo ili aweze kujiendeleza zaidi kielimu na kufikia malengo yake na zaidi akiahidi kumsomesha katika shule za kisasa ili apate elimu bora zaidi.


“Kwa kuthamini kipaji chake na mchango wake na kutambua nafasi yangu kama Naibu Waziri kwenye Wizara inayosimamia mambo ya Watoto na kama mbunge na mzazi wa mabinti, lakini zaidi kama mtu kutoka kwenye background ya maisha ya chini na ninayethamini mchango wa elimu kwenye maisha yangu, nimeamua kujitolea kumsomesha kidato cha tano na cha sita kwenye shule za kisasa,

“Taasisi yangu ya misaada ya kijamii ya Hamisi Kigwangalla Development Foundation itamlipia ada za masomo yake ya high school,” alisema Dkt. Kigwangalla.

Getrude Clement ambaye ana miaka 16 amepata nafasi hiyo ya kipekee baada ya kupata nafasi ya kutoa hotuba kwa niaba ya watoto na vijana wengine duniani katika mkutano wa Umoja wa Mataifa ambapo alikaribishwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon na kusifiwa na watu mbalimbali duniani kutokana na hotuba yake nzuri.
Job: Technical adviser - Micro Health Insurance Tanzania

Organization: Centre International de Développement et de Recherche
Country: United Republic of Tanzania
Closing date: 31 May 2016

Center International for Development and Research (CIDR), is an International Development NGO which one of the main areas of expertise and intervention is Micro Health Insurance. CIDR has implemented an innovative program in the region of Mbeya in Tanzania to support and boost CHF (Community Health Fund), by promoting member based associations at District level (Mbozi and Kyela), and involving several partners like District Authorities and agro business companies. Because of its success, a Tanzanian NGO (HIMSO) is taking over the ownership of the program which will be extended in 2 new districts (Rungwe and Busokelo).
Mission
Under the supervision of CIDR East Africa Regional Office Director, provide expertise and technical support to HIMSO in order to strengthen its technical, financial and project management capacity.
Duties and responsibilities
Back up to and monitoring of HIMSO for extension of the approach in the new districts,
Training of HIMSO in the field of organizational development and project management,
Facilitation of and support to partnership between the stakeholders,
Improving the information and monitoring system of the project and micro insurance products,
Documentation of methodologies and tools developed, and of lessons learnt,
Participation to national workshops and conferences to present innovative approaches developed,
Contribute to the strategic and business planning for CIDR in Tanzania regarding micro health insurance.
Profile
Education
Master degree in economics, insurance or finance.
Experience
At least 5 years in design, support to and / or implementation of micro insurance methodologies and products in Africa (preferably in Eastern Africa or Indian Ocean) as technical adviser including health financing and micro health insurance, with strong background on product development and implementation. Experience in the use of new technologies to improve efficiency of micro health insurance product delivery will be appreciated.
Professional Skills
Health micro insurance and health financing mechanism,
Information system and NTIC,
Business planning,
Elaboration and implementation of training modules in micro health insurance,
Excellent capacities of negotiations and interpersonal skills,
Knowledge management and transfer of competency,
Excellent command of office computer software (Word, Excel, Power Point), and internet (E mail and web),
Excellent writing skills.
Languages : Fluency in English. Fluency in French will be a plus.
Job location : Position based in Mbeya, Tanzania, with frequent missions at Dar Es Salaam
Terms of the contract
Type of contract : 2 years contract
Wage : Salary as per CIDR grid, accommodation in Mbeya
Position to be filled : ASAP

How to apply:

TED Talks w/ Linus Torvalds - The mind behind Linux


Linus Torvalds transformed technology twice — first with the Linux kernel, which helps power the Internet, and again with Git, the source code management system used by developers worldwide. In a rare interview with TED Curator Chris Anderson, Torvalds discusses with remarkable openness the personality traits that prompted his unique philosophy of work, engineering and life. "I am not a visionary, I'm an engineer," Torvalds says. "I'm perfectly happy with all the people who are walking around and just staring at the clouds ... but I'm looking at the ground, and I want to fix the pothole that's right in front of me before I fall in."

Katuni: Uhuriano wa tusi na cheo

Kibonzo cha "Media Day"...


Rais Magufuli, Rais mstaafu Kikwete kwenye kikao cha KK ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiendesha Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya Taifa kilichofanyika Mkoani Dodoma. Kulia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na kushoto ni Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein wakifurahia jambo kabla ya kuanza kwa kikao cha cha Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya Taifa kilichofanyika Mkoani Dodoma.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipowasili mkoani Dodoma kwa ajili ya kikao hicho cha Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya Taifa.


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakielekea kwenye kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya Taifa kilichofanyika Mkoani Dodoma.
PICHA NA IKULU.

Binti Getrude Clement aelezea ujasiri wa kuzungumza mbele ya viongozi UN

Gertrude Clement, 16, aliteka masikio na macho ya Watanzania wakati alipohutubia viongozi zaidi ya 300 katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN) majuzi alipowawakilisha watoto na vijana wa ulimwenguni kote kuzungumzia mabadiliko ya tabia nchi na athari zake. Hapa anaeleza alivyoweza kuwasilisha kauli yake.


United Nations - Remarks by Ms. Getrude Clement, Youth Representative from Tanzania at the opening of the High-level Signature Ceremony for the Paris Agreement.Baadhi ya kazi zake za kila siku kabla ya kuhutubia UN...Unaweza kuona video zake zaidi kwenye YouTube kwa kubofya hapa.

Maana ya Hati Fungani